Wabunge wa EALA watakiwa kuweka maslahi ya umma mbele
Wabunge wa Tanzania kwenye Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) wamesisitizwa kuyabeba majukumu waliyopewa kwa uzito unaostahili, huku wakiweka mbele maslahi ya umma wakati wanatekeleza majukumu yao. Maagizo hayo…