Read more about the article Mwana FA aagiza maafisa utamaduni kuimarisha matamasha ya utamaduni
Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’

Mwana FA aagiza maafisa utamaduni kuimarisha matamasha ya utamaduni

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’, amewataka Maafisa Utamaduni wa Wilaya na Mikoa kuhakikisha matamasha ya Utamaduni yanayofanyika katika maeneo yao yanafanikiwa na kuleta ushawishi…

Continue ReadingMwana FA aagiza maafisa utamaduni kuimarisha matamasha ya utamaduni