Historia nyingine yaandikwa mradi wa JNHPP, Biteko akemea hujuma
Leo Tanzania imeandika historia nyingine katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya umeme baada ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko kuzindua utekelezaji wa mradi wa njia…