You are currently viewing Rais Samia ateua 6 kuwa wabunge

Rais Samia ateua 6 kuwa wabunge

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyonayo chini ya Ibara ya 66(1)(e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, amewateua wafuatao kuwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Kwa mujibu ya taarifa ya leo Novemba 10, 2025 iliyotolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi na kusainiwa na Balozi Dkt. Moses M. Kusiluka, alioteuliwa ni pamoja na Dkt. Dorothy Onesphoro Gwajima, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, Abdullah Ali Mwinyi, Balozi Khamis Mussa Omar, Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho.

Leave a Reply