Nyangumi asafiri kutoka Colombia hadi Tanzania ‘kusaka majike’
Nyangumi mwenye nundu amefanya uhamiaji mkubwa na wa kipekee kuwahi kurekodiwa huku wanasayansi wakisema huenda uhamaji huo umechochewa na mabadiliko ya tabia nchi. Dk. Ekaterina Kalashnikova kutoka kwa programu ya…