Makamu wa Rais Dk Nchimbi ajiuzulu
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, amemwandikia Rais Samia Suluhu Hassan, barua ya kujiuzulu wadhifa huo, miezi michache baada ya kutoa kauli mbalimbali zenye utata. Kabla ya taarifa…
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, amemwandikia Rais Samia Suluhu Hassan, barua ya kujiuzulu wadhifa huo, miezi michache baada ya kutoa kauli mbalimbali zenye utata. Kabla ya taarifa…
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Kijinai katika Matukio ya Ghasia za Wakati na Baadaa ya Uchaguzi Mkuu wa 2025, imeweka wazi hadidu za rejea itakazokwenda kuzifanyia kazi katika mchakato.…
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema mradi wa kuzalisha Julius Nyerere (JNHPP), usiishie kuwasha taa pekee, bali uwe fursa za maendeleo ya vijijini. Mbowe…
Zaidi ya asilimia 95 ya wafanyakazi walioshiriki katika ujenzi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) walikuwa Watanzania, hatua iliyowajengea wataalamu wa ndani ujuzi na uzoefu wa kutekeleza…
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema dhamira ya Serikali chini ya uongozi wake ni kufikisha umeme Tanzania nzima ifikapo 2030, akidokeza hilo huenda likatokea kabla ya mwaka huo. Amesema kwa sasa…
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amesema kukamilika na kuzinduliwa rasmi kwa Mradi wa Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) kumeongeza uwezo wa Tanzania kuzalisha umeme na kuiweka nchi…
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Kituo cha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) kitaongeza uwezo wa uzalishaji umeme na kuondoa usumbufu wa kukatika mara kwa mara kwa umeme. Mkuu huyo wa…
Rais Samia Suluhu Hassan, leo Jumamosi Agosti 22, 2026, amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP), kilichopo Rufiji, Mkoa wa Pwani. JNHPP ni mradi mkubwa wa kimkakati…
Wakati Tanzania ikijiandaa kuzindua rasmi Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) Agosti 22, 2026, Serikali imesema maandalizi ya kusafirisha na kusambaza umeme unaozalishwa na bwawa hilo katika maeneo…
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Benki ya Dunia imeipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kusimamia vizuri wa utekelezaji wa awamu ya kwanza ya ujenzi na maboresho…