Mgomo wa wafanyakazi Kenya wakwamisha safari za ndege
ABIRIA waliokuwa wakisafiri kuelekea Nairobi na Entebbe kupitia Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Kisumu nchini Kenya jana Jumatatu walikwama kwa muda mrefu huku shughuli usafiri wa angani zikitatizwa. Mgomo…
