Magari ‘yapotezwa’ njiani, saba waburuzwa mahakamani
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MAGARI mawili yaliyotolewa bandarini yakielekea bandari kavu (ICD) Vingunguti, Dar es Salaam, yanadaiwa kubadilishiwa mwelekeo na kupelekwa Kigamboni, tukio lililosababisha watu saba kufikishwa mahakamani…
