Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article Samia: Kipimo chetu ni kuboresha maisha ya wananchi

Samia: Kipimo chetu ni kuboresha maisha ya wananchi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:August 5, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais Samia Suluhu Hassan amesema kipimo kikuu cha viongozi Afrika si idadi ya matamko yanayotolewa, bali ni uwezo wa kuleta matokeo yanayoboresha maisha ya wananchi kupitia utekelezaji wa miradi ya…

Continue ReadingSamia: Kipimo chetu ni kuboresha maisha ya wananchi
Read more about the article EACOP yatoa  Dola za Marekani milioni 1.06 kuimarisha huduma za afya mikoa yanTanga,Geita

EACOP yatoa  Dola za Marekani milioni 1.06 kuimarisha huduma za afya mikoa yanTanga,Geita

  • Post author:Gabriel
  • Post published:August 5, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) limesaini Mikataba mitatu ya kufadhili   uwekezaji wa Kijamii na Kiuchumi (SEI) yenye thamani ya zaidi ya…

Continue ReadingEACOP yatoa  Dola za Marekani milioni 1.06 kuimarisha huduma za afya mikoa yanTanga,Geita
Read more about the article Samia: Bila amani, Dira 2050 haitatekelezeka

Samia: Bila amani, Dira 2050 haitatekelezeka

  • Post author:Gabriel
  • Post published:August 3, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais Samia Suluhu Hassan amesema amani na utulivu ni mtaji mkubwa kuliko fedha katika kufanikisha Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050, akisisitiza kuwa bila mazingira ya amani malengo hayawezi kutekelezwa.…

Continue ReadingSamia: Bila amani, Dira 2050 haitatekelezeka
Read more about the article Dkt Samia: Mchele wa Mbeya unahitajika zaidi nje ya nchi

Dkt Samia: Mchele wa Mbeya unahitajika zaidi nje ya nchi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:August 3, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameitaka sekta binafsi kuongeza uwekezaji katika uzalishaji na uchakataji wa bidhaa za ndani, ikiwemo mchele, ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka katika soko la Afrika.…

Continue ReadingDkt Samia: Mchele wa Mbeya unahitajika zaidi nje ya nchi
Read more about the article KIZIMKAZI KUMENOGA, SHANGWE NA FURSA

KIZIMKAZI KUMENOGA, SHANGWE NA FURSA

  • Post author:Gabriel
  • Post published:August 2, 2026
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani

Kizimkazi inakuita! Kuanzia Agosti 12–14, 2026, jiandae kwa siku tatu za utalii, biashara, burudani na fursa za uchumi wa buluu katika mandhari ya kuvutia. Shangwe inaanzia Agosti 12 kwa matembezi…

Continue ReadingKIZIMKAZI KUMENOGA, SHANGWE NA FURSA
Read more about the article Rais Samia azindua Hospitali ya Nyerere nchini Angola

Rais Samia azindua Hospitali ya Nyerere nchini Angola

  • Post author:Gabriel
  • Post published:August 1, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais Samia Suluhu Hassan na mwenyeji wake, Rais wa Angola, João Lourenço, wamezindua Hospitali Kuu ya Rufaa ya Rais Julius Nyerere iliyopo Kilamba jijini Luanda. Uzinduzi huo umefanyika leo Jumamosi…

Continue ReadingRais Samia azindua Hospitali ya Nyerere nchini Angola
Read more about the article Dk. Mwigulu azindua boti za doria kuimarisha ulinzi, usalama wa bahari na maziwa makuu

Dk. Mwigulu azindua boti za doria kuimarisha ulinzi, usalama wa bahari na maziwa makuu

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 31, 2026
  • Post category:Usafiri wa Majini

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, leo tarehe 31 Julai 2026, ameongoza hafla ya makabidhiano na uzinduzi wa boti mbili za kisasa za…

Continue ReadingDk. Mwigulu azindua boti za doria kuimarisha ulinzi, usalama wa bahari na maziwa makuu
Read more about the article Rais Samia asisitiza maridhiano kuelekea maboresho ya Katiba

Rais Samia asisitiza maridhiano kuelekea maboresho ya Katiba

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 30, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itaendeleza maridhiano ya kisiasa nchini kuelekea hatua za maboresho ya Katiba kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za nchi. Katika kuyatimiza hayo, ameahidi kuendeleza…

Continue ReadingRais Samia asisitiza maridhiano kuelekea maboresho ya Katiba
Read more about the article Vitongoji 89 Magu kufikiwa na umeme 2028

Vitongoji 89 Magu kufikiwa na umeme 2028

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 30, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

JUMLA ya vitongoji 89 vilivyopo katika vijiji vya kata mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza vinatarajiwa kufikiwa na huduma ya umeme ifikapo Disemba mwaka 2028. Hayo yameelezwa…

Continue ReadingVitongoji 89 Magu kufikiwa na umeme 2028
Read more about the article Madiwani Magu waiangukia Tanroads kwa ubovu wa barabara

Madiwani Magu waiangukia Tanroads kwa ubovu wa barabara

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 30, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Mwanza Ubovu wa barabara kuu ya Musoma – Mwanza katika eneo la wilaya ya Magu, mkoani Mwanza umewafanya madiwani wa halmashauri ya wilaya hiyo kuomba Wakala wa…

Continue ReadingMadiwani Magu waiangukia Tanroads kwa ubovu wa barabara
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • …
  • 144
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website