Kutoka Kampala hadi Kizimkazi, Jose Chameleone akitoa burudani
Mwanamuziki kutoka Uganda, Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleone, ni miongoni mwa wasanii wanaotoa burudani katika Tamasha la Kizimkazi 2026, hatua inayoonesha namna tamasha hilo linavyozidi kuvuka mipaka ya Tanzania…
