Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article Ujio wa kocha Ben Lee waipa Tanzania fursa ya kipekee ya kuinua mchezo wa kuogelea

Ujio wa kocha Ben Lee waipa Tanzania fursa ya kipekee ya kuinua mchezo wa kuogelea

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 28, 2026
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tanzania imepiga hatua nyingine katika juhudi za kuendeleza mchezo wa uogeleaji kufuatia kuwasili kwa kocha wa kimataifa, Ben Lee, ambaye atatoa mafunzo ya kiwango…

Continue ReadingUjio wa kocha Ben Lee waipa Tanzania fursa ya kipekee ya kuinua mchezo wa kuogelea
Read more about the article RaceBetter, Mont International School kutoa mafunzo ya uoegelea kwa wiki tatu bure Dar 

RaceBetter, Mont International School kutoa mafunzo ya uoegelea kwa wiki tatu bure Dar 

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 27, 2026
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WADAU wa mchezo wa uogeleaji Tanzania wanatarajiwa kunufaika na mafunzo ya kiwango cha kimataifa kupitia programu ya wiki tatu iliyolenga kukuza vipaji vya waogeleaji…

Continue ReadingRaceBetter, Mont International School kutoa mafunzo ya uoegelea kwa wiki tatu bure Dar 
Read more about the article Rais Samia ashiriki maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Dodoma

Rais Samia ashiriki maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Dodoma

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 25, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 25, 2026, ameshiriki maadhimisho ya Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba, mkoani Dodoma. Katika maadhimisho hayo, Rais Samia aliweka…

Continue ReadingRais Samia ashiriki maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Dodoma
Read more about the article Tuhuma za ngono zamng’oa Mwendesha Mashtaka Mkuu ICC

Tuhuma za ngono zamng’oa Mwendesha Mashtaka Mkuu ICC

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 25, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imemwondoa madarakani Mwendesha Mashtaka Mkuu, Karim Khan kutokana na tuhuma za ukatili wa kingono. Jana Ijumaa Julai 24,2026 nchi wanachama wa ICC zimepiga kura…

Continue ReadingTuhuma za ngono zamng’oa Mwendesha Mashtaka Mkuu ICC
Read more about the article Rais wa Emirate agomea Boeing 777X, ‘wazigeuze makopo ya maharage’

Rais wa Emirate agomea Boeing 777X, ‘wazigeuze makopo ya maharage’

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 23, 2026
  • Post category:Usafiri wa Anga

Rais wa shirika la ndege la Emirates, Sir Tim Clark, amesema shirika hilo halitapokea kundi la kwanza la ndege 10 za Boeing 777X, akieleza kuwa ucheleweshaji mrefu umefanya ndege hizo…

Continue ReadingRais wa Emirate agomea Boeing 777X, ‘wazigeuze makopo ya maharage’
Read more about the article Serikali yatumia bilioni 600 ujenzi miradi ya kimkakati Kigoma, mtandao wa lami wafikia km 594

Serikali yatumia bilioni 600 ujenzi miradi ya kimkakati Kigoma, mtandao wa lami wafikia km 594

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 23, 2026
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameeleza kuwa katika kipindi cha miaka mitano ya utawala wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan umeufungua Mkoa wa Kigoma kwa kufanya ufikike kwa urahisi, kupunguza…

Continue ReadingSerikali yatumia bilioni 600 ujenzi miradi ya kimkakati Kigoma, mtandao wa lami wafikia km 594
Read more about the article Kamati ya uchumi yapongeza zoezi la upimaji shirikishi Magu

Kamati ya uchumi yapongeza zoezi la upimaji shirikishi Magu

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 23, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira ya Halmashauri imetembelea Kijiji cha Matela kata ya  Nyanguge  kukagua maendeleo ya zoezi la upangaji na upimaji shirikishi wa ardhi linaloendelea kutekelezwa na Halmashauri…

Continue ReadingKamati ya uchumi yapongeza zoezi la upimaji shirikishi Magu
Read more about the article Kamati ya kudhibiti Ukimwi Magu yawapa wavuvi elimu ya kujikinga na VVU

Kamati ya kudhibiti Ukimwi Magu yawapa wavuvi elimu ya kujikinga na VVU

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 22, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Kamati ya Kudhibiti maambukizi ya VVU na UKIMWI (CMAC) ya Halmashauri ya Wilaya ya Magu imewatembelea wavuvi na wafanyabiashara katika mwalo wa Maneto uliopo Kata ya Kahangara wilayani Magu na…

Continue ReadingKamati ya kudhibiti Ukimwi Magu yawapa wavuvi elimu ya kujikinga na VVU
Read more about the article Samia: Amani na usalama ndiyo msingi wa maendeleo

Samia: Amani na usalama ndiyo msingi wa maendeleo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 20, 2026
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu wa kulinda amani na usalama wa nchi, akisema ndio msingi wa maendeleo na uwekezaji mkubwa unaofanywa na Serikali katika miradi ya kimkakati. Akizungumza leo…

Continue ReadingSamia: Amani na usalama ndiyo msingi wa maendeleo
Read more about the article Samia: Kigoma mwanzo wa fursa, si mwisho wa reli

Samia: Kigoma mwanzo wa fursa, si mwisho wa reli

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 20, 2026
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, amesema Mkoa wa Kigoma hautakuwa tena mwisho wa reli bali itakuwa mwanzo wa kufunguka kwa fursa biashara na uwekezaji.…

Continue ReadingSamia: Kigoma mwanzo wa fursa, si mwisho wa reli
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • …
  • 144
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website