Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article Rais Samia azindua rasmi ujenzi SGR Tabora-Kigoma

Rais Samia azindua rasmi ujenzi SGR Tabora-Kigoma

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 20, 2026
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Rais Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma, yenye urefu wa kilomita 506. Mradi huo, utagharimu Sh6.23 trilioni kwa…

Continue ReadingRais Samia azindua rasmi ujenzi SGR Tabora-Kigoma
Read more about the article Rais Samia azindua meli nne za mizigo kuimarisha biashara Ziwa Tanganyika

Rais Samia azindua meli nne za mizigo kuimarisha biashara Ziwa Tanganyika

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 20, 2026
  • Post category:Usafiri wa Majini

Rais Samia Suluhu Hassan amezindua meli nne mpya za mizigo zenye uwezo wa kubeba tani 2,000 kila moja katika hafla ya kitaifa iliyofanyika leo, Julai 20, 2026, katika Bandari ya…

Continue ReadingRais Samia azindua meli nne za mizigo kuimarisha biashara Ziwa Tanganyika
Read more about the article Meli ya mafuta yenye bendera ya Tanzania yatekwa Yemen
OLYMPUS DIGITAL CAMERA

Meli ya mafuta yenye bendera ya Tanzania yatekwa Yemen

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 20, 2026
  • Post category:Usafiri wa Majini

Meli ya kusafirisha mafuta yenye bendera ya Tanzania imetekwa nyara na watu wanaoshukiwa kuwa maharamia wa Kisomali katika pwani ya Yemen. Haya ni kwa mujibu wa vyanzo vya usalama na…

Continue ReadingMeli ya mafuta yenye bendera ya Tanzania yatekwa Yemen
Read more about the article Misri kuwekeza katika kilimo, ufugaji Tanzania

Misri kuwekeza katika kilimo, ufugaji Tanzania

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 18, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake imekubaliana kushirikiana na Misri katika kilimo cha mazao na mifugo ili kunufaika na soko la mataifa ya Afrika ambayo hutumia Dola za Marekani…

Continue ReadingMisri kuwekeza katika kilimo, ufugaji Tanzania
Read more about the article Tanzania, Misri kuimarisha ushirikiano wa biashara na uwekezaji

Tanzania, Misri kuimarisha ushirikiano wa biashara na uwekezaji

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 18, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais wa Misri, Abdel Fattah El-Sisi, amesema Tanzania na Misri zimekubaliana kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi, biashara na uwekezaji kwa lengo la kuleta manufaa kwa wananchi wa mataifa hayo mawili.…

Continue ReadingTanzania, Misri kuimarisha ushirikiano wa biashara na uwekezaji
Read more about the article Dkt. Samia ampokea Rais wa Misri El-Sisi Ikulu Dar es Salaam

Dkt. Samia ampokea Rais wa Misri El-Sisi Ikulu Dar es Salaam

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 18, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais Samia Suluhu Hassan, leo Julai 18, 2026 amempokea Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Abdel Fattah El-Sisi aliyewasili Nchini kwa ziara ya Kitaifa. Kwa mujibu wa taarifa ya…

Continue ReadingDkt. Samia ampokea Rais wa Misri El-Sisi Ikulu Dar es Salaam
Read more about the article Ujenzi barabara Lushoto kuchochea maendeleo ya kiuchumi, kijamii kwa wananchi

Ujenzi barabara Lushoto kuchochea maendeleo ya kiuchumi, kijamii kwa wananchi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 17, 2026
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Na Mwandishi Wetu, Lushoto Wananchi wa Jimbo la Lushoto wameishukuru Serikali kwa ujenzi wa Barabara ya Malibwi–Kwekanga–Ngwelo, wakisema hatua hiyo imeondoa kero ya muda mrefu iliyokuwa ikikwamisha shughuli za usafiri…

Continue ReadingUjenzi barabara Lushoto kuchochea maendeleo ya kiuchumi, kijamii kwa wananchi
Read more about the article Uwanja wa Ndege wa Msalato: Mradi unaobadili maisha ya wakazi wa Dodoma

Uwanja wa Ndege wa Msalato: Mradi unaobadili maisha ya wakazi wa Dodoma

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 17, 2026
  • Post category:Usafiri wa Anga

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Ule msemo wa Kiswahili unaosema "Mgeni njoo, mwenyeji apone" unaendelea kupata uhalisia kupitia ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, mradi mkubwa unaotekelezwa na…

Continue ReadingUwanja wa Ndege wa Msalato: Mradi unaobadili maisha ya wakazi wa Dodoma
Read more about the article Marekani yaipa Tanzania bilioni 2.6 kukabili Ebola

Marekani yaipa Tanzania bilioni 2.6 kukabili Ebola

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 16, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh2.63 bilioni ili kusaidia kuimarisha maandalizi na utayari wa Tanzania katika kukabiliana na ugonjwa wa Ebola.…

Continue ReadingMarekani yaipa Tanzania bilioni 2.6 kukabili Ebola
Read more about the article Nchi wanachama SADC zatakiwa kuungana kukabili changamoto za kiusalama, kiuchumi

Nchi wanachama SADC zatakiwa kuungana kukabili changamoto za kiusalama, kiuchumi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 16, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Malawi NCHI wanachama za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimehimizwa kuwa na umoja wenye malengo katika kukabiliana na changamoto zinazoibuka duniani ambazo zisiposhughulikiwa ipasavyo zitakuwa…

Continue ReadingNchi wanachama SADC zatakiwa kuungana kukabili changamoto za kiusalama, kiuchumi
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • …
  • 144
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website