Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article Dk. Mwinyi amteua Masoud kuwa makamu wa Rais Z’bar

Dk. Mwinyi amteua Masoud kuwa makamu wa Rais Z’bar

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 18, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Continue ReadingDk. Mwinyi amteua Masoud kuwa makamu wa Rais Z’bar
Read more about the article Makonda kuunda kamati kuchunguza mkataba wa jezi za Taifa Stars

Makonda kuunda kamati kuchunguza mkataba wa jezi za Taifa Stars

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 18, 2026
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani

Continue ReadingMakonda kuunda kamati kuchunguza mkataba wa jezi za Taifa Stars
Read more about the article British Airways kutua Tanzania kutokea London Uingereza

British Airways kutua Tanzania kutokea London Uingereza

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 17, 2026
  • Post category:Usafiri wa Anga

Shirika la Ndege la nchini Uingereza, British Airways limetangaza kuanza safari za moja kwa moja kutoka London kwenda Kilimanjaro na Zanzibar nchini Tanzania. Safari hizo zinazotarajiwa kuanzia Mei 29, 2027,…

Continue ReadingBritish Airways kutua Tanzania kutokea London Uingereza
Read more about the article Watendaji kata, maofisa afya Magu mguu sawa kukabiliana na El nino

Watendaji kata, maofisa afya Magu mguu sawa kukabiliana na El nino

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 17, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Magu, Mohamed Ramadhani amewaagiza watendaji wa kata pamoja na maofisa afya wa wilaya hiyo kuendelea kuelimisha jamii namna ya kujikinga na maafa yanayoweza kutokea…

Continue ReadingWatendaji kata, maofisa afya Magu mguu sawa kukabiliana na El nino
Read more about the article MOI yaanza kutumia mbinu mpya kutibu kiharusi

MOI yaanza kutumia mbinu mpya kutibu kiharusi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 17, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeanza kutumia teknolojia ya kisasa kutoa matibabu ya kibingwa ya upasuaji wa ubongo kwa wagonjwa wa kiharusi inayongeza ufanisi wa matibabu…

Continue ReadingMOI yaanza kutumia mbinu mpya kutibu kiharusi
Read more about the article Waosha magari, wauza maua wapewa somo upotevu maji

Waosha magari, wauza maua wapewa somo upotevu maji

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 15, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imewataka wafanyabiashara wanaotegemea maji katika shughuli zao, wakiwemo waosha magari, wafyatua matofali na watunza bustani, kushiriki katika kudhibiti upotevu…

Continue ReadingWaosha magari, wauza maua wapewa somo upotevu maji
Read more about the article Dkt. Mwigulu: Tutengeneze mabilionea watanzania kupitia madini
Dk. Mwigulu Nchemba

Dkt. Mwigulu: Tutengeneze mabilionea watanzania kupitia madini

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 15, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka vijana wa Kitanzania wachangamkie fursa zilizopo katika sekta ya madini ili wanufaike na utajiri wa rasilimali hizo na kujenga biashara kubwa za Kitanzania. Amesema…

Continue ReadingDkt. Mwigulu: Tutengeneze mabilionea watanzania kupitia madini
Read more about the article Laporta ampa Rais Samia salamu za pole kufuatia kifo cha mwenza wake

Laporta ampa Rais Samia salamu za pole kufuatia kifo cha mwenza wake

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 15, 2026
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani

Rais wa FC Barcelona, Joan Laporta, ametoa salamu za pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mwenza wake, Mzee Hafidh…

Continue ReadingLaporta ampa Rais Samia salamu za pole kufuatia kifo cha mwenza wake
Read more about the article Naibu waziri aipongeza Magu kuvutia wawekezaji sekta ya uvuvi

Naibu waziri aipongeza Magu kuvutia wawekezaji sekta ya uvuvi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 15, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ng’wasi Kamani ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Magu kwa kuweka mazingira bora yanayovutia wawekezaji mbalimbali hususani katika sekta ya ufugaji wa samaki hali inayochangia…

Continue ReadingNaibu waziri aipongeza Magu kuvutia wawekezaji sekta ya uvuvi
Read more about the article Wakili wa Serikali ambana Heche kwa maswali mahakamani

Wakili wa Serikali ambana Heche kwa maswali mahakamani

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 14, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga amembana Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kwa maswali magumu kutoka upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu…

Continue ReadingWakili wa Serikali ambana Heche kwa maswali mahakamani
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • …
  • 144
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website