DAWASA yaanza msako kwa wanaojiunganishia maji kinyemela
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imefanya operesheni katika Mtaa wa Majizzo katika Kata ya Kunduchi Wilaya ya Kinondoni na kubaini matumizi yasiyo halali ya…
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imefanya operesheni katika Mtaa wa Majizzo katika Kata ya Kunduchi Wilaya ya Kinondoni na kubaini matumizi yasiyo halali ya…
Serikali ya Marekani imewawekea vikwazo Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Tomoko Akane na wakili mwandamizi wa taasisi hiyo, Abdoulaye Seye, katika hatua mpya ya kuongeza shinikizo dhidi…
Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika biashara na uwekezaji kwa kuondoa vikwazo visivyo vya lazima, kuboresha huduma mipakani na kuwezesha sekta binafsi kushiriki kikamilifu…
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Jamhuri ya Demokrasua ya Kongo (DRC), wamekubaliana kushirikiana kwenye sekta ya madini katika kubadilisha uzoefu na ujuzi, uchimbaji madini na uongezaji thamani na…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameagiza kuchukuliwa kwa hatua kali dhidi ya madereva wa malori wanaopaki kwenye hifadhi ya barabara (service roads) na kusababisha kuzibwa kwa…
Rais Samia Suluhu Hassan amempongeza mchezaji wa Klabu ya Gofu ya Lugalo, Hawa Wenyeche, kwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya Uganda Ladies Open, yaliyoshirikisha wachezaji kutoka Tanzania, Ghana, Japan, Kenya,…
Aliyekuwa Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, amehudhuria kilele cha Tamasha la Kizimkazi 2026 visiwani Zanzibar, akiwa mgeni maalum wa Rais Samia Suluhu Hassan. Embaló ameshiriki katika hafla ya kilele…
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema kila mwaka Tamasha la Kizimkazi linapofanyika, linaacha alama kutokana na uzinduzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Rais Samia ameyasema hayo leo Agosti 14, 2026 wakati…
Rais Samia Suluhu Hassan, ametaka shangwe zilizoshuhudiwa katika Tamasha la Kizimkazi 2026, zigeuzwe kuwa fursa ya maendeleo zitakazowagusa na kustawisha maendeleo ya wananchi. Amesema shangwe mara nyingi ni nzuri na…
Mwanamuziki kutoka Uganda, Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleone, ni miongoni mwa wasanii wanaotoa burudani katika Tamasha la Kizimkazi 2026, hatua inayoonesha namna tamasha hilo linavyozidi kuvuka mipaka ya Tanzania…