You are currently viewing Afisa mtendaji mkuu NMB kwenye mkutano mkuu CCM

Afisa mtendaji mkuu NMB kwenye mkutano mkuu CCM

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi Ruth Zaipuna ni mmoja wa wageni waalikwa waliohudhuria Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao unalenga kutathmini utekelezaji wa llani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020, pamoja na kuzindua rasmi wa llani ya Uchaguzi ya mwaka 2025.

Mkutano huo unaofanyika jijini Dodoma katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete JKCC unaongizwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Leave a Reply