Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini Ndugu Ado Shaibu Ado leo ameshiriki misa ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho Marehemu Jenista Mhagama iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Benedict, Abasia ya Peramiho, Parokia ya Peramiho, Jimbo Kuu la Songea Mkoani Ruvuma leo tarehe 15 Desemba 2025.

