You are currently viewing Madereva wamshukuru Rais Samia kupata ajira Qatar

Madereva wamshukuru Rais Samia kupata ajira Qatar

“Kwanza kabisa, tunapenda kumshukuru Mama yetu, Rais Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake kubwa za kuhakikisha vijana wa Kitanzania tunapata ajira nje ya nchi zinazostahiki.

“Kupitia nafasi hizi, sisi vijana madereva tumepata ajira nchini Qatar, jambo litakalobadilisha maisha yetu na ya familia zetu. Tunaahidi kufanya kazi kwa bidii, kwa nidhamu, na kuenzi heshima ya Tanzania kila tunapokuwa nje ya nchi”, amesema dereva John Kiango.

Leave a Reply