Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha aliposhiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika (AU) na Serikali kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (CAHOSCC) Jijini Addis Ababa Nchini Ethiopia leo Febuari 13, 2026.

