You are currently viewing Rais Samia ateta na viongozi wa vyama vya siasa

Rais Samia ateta na viongozi wa vyama vya siasa

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha na Wenyevyiti wa Vyama vya Siasa baada ya kushiriki katika Kikao na Baraza la Vyama vya Siasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Novemba, 2026.