You are currently viewing Zuio la kutotoka nje baada ya saa 12 laondolewa Dar
IGP Wambura

Zuio la kutotoka nje baada ya saa 12 laondolewa Dar

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Camillus Wambura, ametangaza rasmi kuondolewa kwa amri iliyokuwa imetolewa tarehe 29 Oktoba 2025 kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, kufuatia maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu, yaliyotolewa leo 3 Novemba 2025.

Miongoni mwa amri iliyotolewa Oktoba 29, 2025 na kudumu kwa takribani siku 6 ni kutotoka nje baada ya saa 12 jioni ambayo nayo imeondolewa rasmi.

Leave a Reply