Serikali kuanza ujenzi Songea bypass, kuondoa msongamano wa malori
Na Mwandishi Wetu, Ruvuma Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imedhamiria kuondoa msongamano wa magari makubwa katikati ya Mji wa Songea mkoani Ruvuma kwa kujenga barabara ya mchepuo…