You are currently viewing Biteko ajipigia kura Bukombe

Biteko ajipigia kura Bukombe

Mtia nia nafasi ya ubunge wa Jimbo la Bukombe, Dkt. Doto Mashaka Biteko ashiriki kupiga kura za maoni kwa nafasi ya Ubunge na Udiwani katika kata ya Bulangwa ambapo Msimamizi wa Uchaguzi ni Paskasi Mlagiri Mjumbe wa kamati ya siasa ya Halmashauri Kuu ya Wilaya ya Bukombe, Agosti 4, 2025, Mkoani Geita.

Katika uchaguzi huo, Biteko ndiye mgombea pekee wa nafasi hiyo baada ya mchakato wa awali wa uchaguzi kupita bila kuwepo kwa kada yeyote wa CCM aliyechukua fomu ya kuomba ridhaa hiyo.

Leave a Reply