You are currently viewing Haya hapa majina ya wagombea waliopenya CCM kugombea Ubunge

Haya hapa majina ya wagombea waliopenya CCM kugombea Ubunge

Halmashauri Kuu ya Chama Cha MApinduzi -CCM Taifa (NEC) leo tarehe 23 Agosti, 2025 imefanya uteuzi wa mwisho wa majina ya wanachama walioomba nafasi za Ubunge na majina ya wanachama wanaoomba nafasi ya Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa majimbo na Viti Maalum. Majina ya walioteuliwa ni kama ifuatavyo:-

1. MKOA WA ARUSHA

  1. Ndg. Paul Chrisant MAKONDA – Arusha Mjini
  2. Dkt. Johannes Lembulung’ LUKUMAY – Arumeru Magharibi
  3. Ndg. Daniel Awack TLEMAH – Karatu
  4. Dkt. Steven Lemomo KIRUSWA – Longido
  5. Ndg. Joshua NASSARI – Arumeru Mashariki
  6. Ndg. Isack COPRIAO – Monduli
  7. Ndg. Yannick Ikayo NDOINYO – Ngorongoro

2. DAR ES SALAAM

  1. Ndg. Haran Nyakisa SANGA – Kigamboni
  2. Ndg. Angellah Jasmine MBELWA KAIRUKI – Kibamba
  3. Prof. Alexander Kitila MKUMBO – Ubungo
  4. Ndg. Mariam KISANGI – Temeke
  5. Ndg. Abdallah Jafari CHAUREMBO – Chamazi
  6. Ndg. Kakulu Buchard KAKULU – Mbagala
  7. Ndg. Geofrey Anyosisye TIMOTH – Kawe
  8. Ndg. Abbas GULAM (Tarimba) – Kinondoni
  9. Ndg. Mussa Azzan ZUNGU – Ilala
  10. Ndg. Jerry William SILAA – Ukonga
  11. Ndg. Bonnah L. KAMOLI – Segerea
  12. Ndg. Dougras Didas MASABURI – Kivule

3. MKOA WA DODOMA

  1. Ndg. Kenneth NOLLO – Bahi
  2. Ndg. Deogratius John NDEJEMBI – Chamwino
  3. Ndg. Livingston LUSINDE – Mvumi
  4. Ndg. Kunti Yusuph MAJALA – Chemba
  5. Ndg. Paschal Inyasa CHINYELE – Dodoma Mjini
  6. Ndg. Antony MAVUNDE – Mtumba
  7. Ndg. Ashatu Kachwamba KIJAJI – Kondoa Vijijini
  8. Ndg. Mariam Ditopile MZUZURI – Kondoa Mjini
  9. Ndg. George Natany MALIMA – Mpwapwa
  10. Ndg. George Boniface SIMBACHAWENE – Kibakwe
  11. Ndg. Isaya Marugumi MOSES – Kongwa

4. MKOA WA GEITA

  1. Dkt. Dotto Mashaka BITEKO – Bukombe
  2. Dkt. Jafar Rajab SEIF – Busanda
  3. Ndg. Cornel Lucas MAGEMBE – Chato Kaskazini
  4. Ndg. Pascal Lucas LUTANDULA – Chato Kusini
  5. Ndg. Chacha Mwita WAMBURA – Geita Mjini
  6. Ndg. Musukuma Joseph KASHEKU – Geita
  7. Ndg. Kija Limbu NTEMI – Katoro
  8. Ndg. Fagasoni Aron NKINGWA – Mbogwe
  9. Ndg. Hallen Nassor AMAR – Nyang’wale

5. MKOA WA IRINGA

  1. Ndg. Fadhili Fabian NGAJILO – Iringa Mjini
  2. Ndg. William Vanging’ombe LUKUVI – Ismani
  3. Ndg. Jackson Gideon KISWAGA – Kalenga
  4. Dkt. Ritta Enespher KABATI – Kilolo
  5. Ndg. Dickson Nathan LUTEVELE – Mafinga Mjini
  6. Ndg. David Mwakiposa KIHENZILE – Mufindi Kusini
  7. Ndg. Exaud KIGAHE – Mufindi Kaskazini

6. MKOA WA KAGERA

  1. Eng. Ezra John CHIWELESA – Biharamulo Magharibi
  2. Ndg. Johansen MUTABINGWA – Bukoba Mjini
  3. Ndg. Jasson Samson RWEIKIZA – Bukoba Vijijini
  4. Ndg. Innocent Lugha BASHUNGWA – Karagwe
  5. Ndg. Khalid Mussa NSEKELLA – Kyerwa
  6. Ndg. Florent Laurent KYOMBO – Misenyi
  7. Ndg. Adonis Alfred BITEGEKO – Muleba Kaskazini
  8. Dkt. Oscar Ishengoma KIKOYO – Muleba Kusini
  9. Ndg. Dotto Jasson BAHEMU – Ngara

7. MKOA WA KATAVI

  1. Ndg. Laurent Deogratius LUSWETULA – Kavuu
  2. Ndg. Thomas Kampala MAGANGA – Katavi
  3. Ndg. Haidar Hemed SUMURY – Mpanda Mjini
  4. Ndg. Anna Richard LUPEMBE – Nsimbo
  5. Ndg. Moshi Selemani KAKOSO – Tanganyika

8. MKOA WA KIGOMA

  1. Ndg. Alan Thomas MVANO – Kakonko
  2. Ndg. Florance George SAMIZI – Muhambwe
  3. Prof. Joyce NDALICHAKO – Kasulu Mjini
  4. Ndg. Edibily Kazala KIMNYOMA – Kasulu Vijijini
  5. Prof. Pius YANDA – Buhigwe
  6. Ndg. Peter J. SERUKAMBA – Kigoma Kaskazini
  7. Ndg. Nuru Issa KASHAKARI (KANDAHALI) – Kigoma Kusini
  8. Ndg. Clayton Revocatus CHIPONDA (BABA REVO) – Kigoma Mjini

9. MKOA WA KILIMANJARO

  1. Ndg. Ibrahim Mohamed SHAYO – Moshi Mjini
  2. Prof. Adolf Faustine MKENDA – Rombo
  3. Ndg. Anne Kilango MALECELA – Same Mashariki
  4. Dkt. Mathayo David MATHAYO – Same Magharibi
  5. Ndg. Morris Joseph MAKOI – Moshi Vijijini
  6. Ndg. Enock Zadock KOOLA – Vunjo
  7. Dkt. Godwin Aloyce MOLLEL – Siha
  8. Ndg. Saashisha Elinikyo MAFUWE – Hai
  9. Ndg. Ngwaru Jumanne MAGHEMBE – Mwanga

10. MKOA WA LINDI

  1. Ndg. Mohamed Mussa UTALY – Lindi Mjini
  2. Ndg. Salma Rashidi KIKWETE – Mchinga
  3. Ndg. Kinjeketile Ngombale MWIRU – Kilwa Kaskazini
  4. Ndg. Hasnain Gulamabbas DEWJI – Kilwa Kusini
  5. Eng. Mshamu Ali MUNDE – Liwale
  6. Ndg. Nape Mosses NNAUYE – Mtama
  7. Ndg. Kaspar Kaspar MMUYA – Ruangwa
  8. Ndg. Fadhili Ally LIWAKA – Nachingwea


====================
KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
Kikao kimepitisha majina ya wanachama wanaoomba kuteuliwa kugombea nafasi za ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi.
Kwa upande wa Zanzibar majina yafuatayo yamepitishwa ambayo yatapelekwa katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa ajili ya kuridhiwa tarehe 23/08/2025.

UBUNGE KASKAZINI PEMBA:

  1. Amour Seif Abdala – Wete
  2. Salim Mussa Omar – Gando
  3. Abas Ali Khamis – Mtambwe
  4. Suleiman Omar Khalid – Pandani
  5. Hamad Hassan Chande – Kojani
  6. Mahesh Shah Bolisha – Micheweni
  7. Khamis Juma Zume – Tumbe
  8. Nassor Rashid Omar – Konde
  9. Omar Issa Kombo – Wingwi

UBUNGE KUSINI PEMBA:

  1. Nassor Said Nassor – Chakechake
  2. Kkhamis Yusuf Hamad – Chonga
  3. Said Salimhamad – Ole
  4. Khamis Kassim Ali – Wawi
  5. Ahmed Juma Ngwali – Ziwani
  6. Muhammed Abrahaman Mwinyi – Chambani
  7. Hija Hassan Hija – Kiwani
  8. Pro Makame Mnyaa Mbarawa – Mkoani
  9. Muhammad Abdalla Kassim – Mtambile

UBUNGE KASKAZINI UNGUJA:

  1. Ayoub Mohamed Mahamoud – Chaani
  2. Said Hassan Ali – Kijini
  3. Khamis Ali Vuai – Mkwajuni
  4. Juma Othman Hija – Tumbatu
  5. Mode Haji Kombo – Nungwi
  6. Mwinyi Jamali Ramadhan – Bubwini
  7. Saidea Juma Khamis – Donge

UBUNGE KASKAZINI UNGUJA

  1. Ayoub Mohamed Mahamoud – Chaani
  2. Said Hassan Ali – Kijini
  3. Khamis Ali Vuai – Mkwajuni
  4. Juma Othman Hija – Tumbatu
  5. Mode Haji Kombo – Nungwi
  6. Mwinyi Jamali Ramadhan – Bubwini
  7. Saida Juma Khamis – Donge
  8. Othman Maulid Suleiman – Mahonda

UBUNGE KUSINI UNGUJA

  1. Ramadhan Muhidini Ramadhan – Chwaka
  2. Major (Rtd) Salum Khamis Haji @ Kibeshi – Tunguu
  3. Ali Haidar Madeweya – Uzini
  4. Wanu Hafidh Ameir – Makunduchi
  5. Jaffar Sanya Jussa – Paje

UBUNGE MAGHARIBI

  1. Nabil Ahmada Abdalla – Dimani
  2. Abbas Ali Mwinyi – Fuoni
  3. Al-Khalil Hassan Mirza – Kiembesamaki
  4. Kassim Hassan Haji – Kwerekwe
  5. Haji Omar Haji @ Pere – Pangwe
  6. Salum Khamis Salim – Bububu
  7. Asha Juma Kombo – Mfenesini
  8. Abubakar Mohamed Mussa – Mtoni
  9. Suleiman Mohammed Rashid – Mwera
  10. Asma Ali Mwinyi – Welezo

UBUNGE MKOA WA MJINI

  1. Abdul Yussuf Maalim – Amani
  2. Ussi Salum Pondeza – Chumbuni
  3. Imamu Mtumwa Vuai – Magomeni
  4. Mohamed Kassim Salum @ Mogan – Mpendae
  5. Mattar Ali Salum – Shaurimoyo

Leave a Reply