Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), António Guterres (kushoto), na Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan (kulia), baada ya kuwasili katika Kituo cha Maonesho cha ANFAŞ Antalya, nchini Uturuki, leo Novemba 11, 2026, kushiriki Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31). #TanzaniaCOP31
Rais Samia Katika Picha ya Pamoja na Guterres, Erdoğan COP 31
- Post author:Gabriel
- Post published:
- Post category:Habari Mchanganyiko
