You are currently viewing Rais Samia apangua wakuu wa wilaya, makatibu tawala, wakurugenzi
Rais Samia Suluhu Hassan

Rais Samia apangua wakuu wa wilaya, makatibu tawala, wakurugenzi

RAIS Samia Suluhu Hassan ameendelea kupangua safu mbalimbali za viongozi ngazi ya wilaya baada ya kuteua wakuu wa wilaya wapya 17, kuhamisha wakuu wa wilaya 26, kuteua makatibu tawala wa wilaya 12 na kuhamisha wanne.

Pia Rais Samia amewahamisha wakurugenzi watendaji wa halmashauri 17 na kuwahamisha 33.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumanne na Katibu Mkuu kiongozi, Balozi  Dk. Moses Kusiluka uteuzi na uhamisho huo ni kama ifuatavyo;