Habari za Hivi Punde

Idadi ya wataalamu sekta ya anga yafikia 3993
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, David Kihenzile, amesema idadi ya wataalamu katika sekta ya anga nchini imefikia jumla ya

Serikali yajipanga kutatua changamoto za mazingira ya biashara nchini
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Serikali kupitia Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) imesema kuwa imejipanga kutatua changamoto mbalimbali

Samia atuma salamu za rambirambi vifo vya wahudumu saba wa afya Kigoma
Serikali inaomboleza vifo vya wafanyakazi saba wa afya waliofariki baada ya mashua waliyokuwa wakisafiria kupinduka kufuatia upepo mkali katika maji
Share this Post
Habari Mchanganyiko

Marekani kushirikiana na Tanzania kuimarisha ulinzi
Serikali ya Marekani imesaini makubaliano ya ushirikiano na Tanzania katika masuala ya kuimarisha jeshi, ulinzi wa amani na usalama wa

Dkt. Samia afichua fursa zilizojificha Ngorongoro
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali imechukua hatua ya kuwahamisha wananchi Ngorogoro kwa sababu eneo hilo lina baionuai nzuri

NMB JASIRI yazinduliwa kuwainua wanawake kiuchumi
Kuna ndoto nyingi za wanawake nchini Tanzania zinazohusiana na kukuza biashara, kujitegemea kiuchumi na kuboresha maisha yao. Ili kusaidia kufungua
Share this Post
Usafiri wa Anga

Samia: Nitajenga uwanja wa ndege Serengeti
Na Mwandishi Wetu, Mara Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan ameahidi ujenzi wa kiwanja cha

Ndege za kitanzania zinazoruka kwa mafuta ya bodaboda
Katika uwanja mdogo wa ndege wa Mazimbu, Morogoro, nilijikuta nikishuhudia jambo ambalo kwa wengi lingesikika kama hadithi tu. Hapa, kundi

Ndege iliyopotea yapatikana, abiria 50 wahofiwa kufariki dunia
Ndege ya abiria ya nchini Urusi iliyokuwa na watu takriban 50 imeanguka eneo la Amur, mashariki mwa nchi hiyo, huku
Share this Post
Usafiri wa Majini

Samia: Tunakwenda kujenga Bandari Bagamoyo
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt Samia Suluhu Hassan amesema mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo

RC Mtanda ashuhudia ushushaji wa vivuko majini, wananchi visiwani mkao wa kula
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ameshuhudia tukio la ushushaji kwenye maji Kivuko cha MV Bukondo kilichogharimu bilioni 4.7

EACOP, BBN wafadhili mafunzo ya ufundi stadi kwa wakazi 12 wa Chongoleani
Na Mwandishi Wetu, Tanga Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi Afrika Mashariki (EACOP kupitia mkandarasi wake Besix Ballast Nedam (BBN)
Share this Post
Usafiri wa Nchi Kavu

EWURA yatangaza bei kikomo ya petroli, dizeli
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kwa

Samia atangaza mkakati kumaliza foleni Barabara Kilwa
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema katika miaka mitano ijayo, Serikali yake

Samia: Tuitumie stendi kujinufaisha kiuchumi
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema ni muhimu wananchi wa Hanang, mkoani Manyara, wakaitumia
Share this Post
Habari za Michezo na Burudani

NMB yakabidhi jezi za milioni 36 kwa SHIMIWI
Benki ya NMB imekabidhi jezi zenye thamani ya Shilingi milioni 36 kwa Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za

Simba SC. yaitafuna kibabe Gor Mahia
Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa

Serikali yaipongeza NMB kuchangia Mil. 30/- Taifa Stars CHAN 2024
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM SERIKALI imeishukuru na kuipongeza Benki ya NMB, kwa mchango wa Sh. Mil. 30 iliyoutoa
