Habari za Hivi Punde

Watendaji kata, maofisa afya Magu mguu sawa kukabiliana na El nino
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Magu, Mohamed Ramadhani amewaagiza watendaji wa kata pamoja na maofisa afya wa wilaya hiyo

MOI yaanza kutumia mbinu mpya kutibu kiharusi
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeanza kutumia teknolojia ya kisasa kutoa matibabu ya kibingwa ya upasuaji

Waosha magari, wauza maua wapewa somo upotevu maji
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imewataka wafanyabiashara wanaotegemea maji katika shughuli zao, wakiwemo waosha
Share this Post
Habari Mchanganyiko

Waosha magari, wauza maua wapewa somo upotevu maji
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imewataka wafanyabiashara wanaotegemea maji katika shughuli zao, wakiwemo waosha

Dkt. Mwigulu: Tutengeneze mabilionea watanzania kupitia madini
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka vijana wa Kitanzania wachangamkie fursa zilizopo katika sekta ya madini ili wanufaike na utajiri

Naibu waziri aipongeza Magu kuvutia wawekezaji sekta ya uvuvi
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ng’wasi Kamani ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Magu kwa kuweka mazingira bora yanayovutia wawekezaji
Share this Post
Usafiri wa Anga

Rais wa Emirate agomea Boeing 777X, ‘wazigeuze makopo ya maharage’
Rais wa shirika la ndege la Emirates, Sir Tim Clark, amesema shirika hilo halitapokea kundi la kwanza la ndege 10

Uwanja wa Ndege wa Msalato: Mradi unaobadili maisha ya wakazi wa Dodoma
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Ule msemo wa Kiswahili unaosema “Mgeni njoo, mwenyeji apone” unaendelea kupata uhalisia kupitia ujenzi wa Uwanja

Flightlink Kuzindua Safari za Moja kwa Moja Kilimanjaro–Nairobi Julai 1
Na Mwandishi Wetu | MCHUKUZI TV Sekta ya usafiri wa anga nchini Tanzania inatarajiwa kupata msukumo mpya baada ya Shirika
Share this Post
Usafiri wa Majini

Meli ya mafuta yenye bendera ya Tanzania yatekwa Yemen
Meli ya kusafirisha mafuta yenye bendera ya Tanzania imetekwa nyara na watu wanaoshukiwa kuwa maharamia wa Kisomali katika pwani ya

Dkt Samia: Tunaiunganisha sekta ya uvuvi na viwanda, masoko
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amesema uzinduzi wa boti mpya ya uvuvi wa bahari kuu, ni mpango na mfumo unaounganisha

Dkt Samia: Tumedhamiria kukuza uvuvi, kuzalisha ajira
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amesema amedhamiri kulifufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO), ili liwe na uwezo wa kusimamia uvunaji
Share this Post
Usafiri wa Nchi Kavu

Samia:Anayeharibu miundombinu analihujumu Taifa, tusikubali tuilinde
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuwa walinzi wa mali za umma, akieleza kuwa mtu anayeharibu miundombinu hiyo,

Serikali yatumia bilioni 600 ujenzi miradi ya kimkakati Kigoma, mtandao wa lami wafikia km 594
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameeleza kuwa katika kipindi cha miaka mitano ya utawala wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

Samia: Amani na usalama ndiyo msingi wa maendeleo
Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu wa kulinda amani na usalama wa nchi, akisema ndio msingi wa maendeleo na uwekezaji
Share this Post
Habari za Michezo na Burudani

Kutoka Kampala hadi Kizimkazi, Jose Chameleone akitoa burudani
Mwanamuziki kutoka Uganda, Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleone, ni miongoni mwa wasanii wanaotoa burudani katika Tamasha la Kizimkazi 2026,

Samia: Dabi ya Simba, Yanga kuongeza hamasa Kizimkazi Festival
Rais Samia Suluhu Hassan amesema mchezo wa dabi kati ya Simba na Yanga utakaochezwa katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar, utaongeza

Wakazi wajipanga kupokea wageni Tamasha la Kizimkazi
Siku chache kabla ya kuanza kwa Tamasha la Kizimkazi litakalofanyika Agosti 12 hadi 14 mwaka huu, wakazi wa Kizimkazi wamesema
