Habari za Hivi Punde

Dkt. Mwigulu: Tutengeneze mabilionea watanzania kupitia madini
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka vijana wa Kitanzania wachangamkie fursa zilizopo katika sekta ya madini ili wanufaike na utajiri

Laporta ampa Rais Samia salamu za pole kufuatia kifo cha mwenza wake
Rais wa FC Barcelona, Joan Laporta, ametoa salamu za pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.

Naibu waziri aipongeza Magu kuvutia wawekezaji sekta ya uvuvi
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ng’wasi Kamani ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Magu kwa kuweka mazingira bora yanayovutia wawekezaji
Share this Post
Habari Mchanganyiko

Wakili wa Serikali ambana Heche kwa maswali mahakamani
Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga amembana Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kwa maswali magumu kutoka upande wa Jamhuri

DAWASA kufanya matengenezo kinga, maji kukatika kwa saa 12
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetangaza kusitishwa kwa huduma ya maji kwa takribani saa

Watahiniwa milioni 1.16 kufanya mtihani wa darasa la saba kesho
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Profesa Said Mohammed, amesema watahiniwa wa Mtihani wa Kumaliza Elimu ya
Share this Post
Usafiri wa Anga

Uboreshaji kiwanja cha ndege Kigoma wafikia 60%
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imesema kuwa mradi wa ukarabati na uboreshaji

Rais Samia atoa milioni 500, ndege maalum kwa Serengeti Boys
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Rais Samia Suluhu Hassan ametoa ndege maalum aina ya Boeing 787-8 Dreamliner kwenda Morocco kwa ajili

ATCL yapata hasara ya Sh bilioni 748 tangu ianzishwe
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amesema kuwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limeendelea
Share this Post
Usafiri wa Majini

Equinor yafanya ziara bandari ya Mtwara kutathmini utayari wa mradi wa LNG
Na Mwandishi Wetu, Mtwara Kampuni ya Equinor kutoka Norway, ambayo ni miongoni mwa kampuni zinazotarajiwa kuwekeza katika mradi wa gesi

Samia atuma salamu za rambirambi vifo vya wahudumu saba wa afya Kigoma
Serikali inaomboleza vifo vya wafanyakazi saba wa afya waliofariki baada ya mashua waliyokuwa wakisafiria kupinduka kufuatia upepo mkali katika maji

Dkt Samia: Tutazihudumia kikamilifu nchi zisizo na bahari
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema uwekezaji wa Serikali katika mradi wa ujenzi wa matenki 15 ya kuhifadhi mafuta
Share this Post
Usafiri wa Nchi Kavu

Samia: Kigoma mwanzo wa fursa, si mwisho wa reli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, amesema Mkoa wa Kigoma hautakuwa tena mwisho wa reli

Rais Samia azindua rasmi ujenzi SGR Tabora-Kigoma
Rais Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma, yenye

Ujenzi barabara Lushoto kuchochea maendeleo ya kiuchumi, kijamii kwa wananchi
Na Mwandishi Wetu, Lushoto Wananchi wa Jimbo la Lushoto wameishukuru Serikali kwa ujenzi wa Barabara ya Malibwi–Kwekanga–Ngwelo, wakisema hatua hiyo
Share this Post
Habari za Michezo na Burudani

Tamasha la Kizimkazi kuibua fursa za uchumi wa buluu
Kizimkazi ni miongoni mwa maeneo yenye uwezo mkubwa wa kukuza uchumi wa buluu Zanzibar na Tanzania kwa ujumla kutokana na

KIZIMKAZI KUMENOGA, SHANGWE NA FURSA
Kizimkazi inakuita! Kuanzia Agosti 12–14, 2026, jiandae kwa siku tatu za utalii, biashara, burudani na fursa za uchumi wa buluu

Ujio wa kocha Ben Lee waipa Tanzania fursa ya kipekee ya kuinua mchezo wa kuogelea
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tanzania imepiga hatua nyingine katika juhudi za kuendeleza mchezo wa uogeleaji kufuatia kuwasili kwa
