Pemba yaanza kupokea meli za mizigo, kupunguza gharama za usafirishaji
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Meli ya kwanza ya makontena imetia nanga katika Bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba na kupokewa na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi Licha ya kuwapo bandari…
