Ujenzi daraja la mawe Lebenya wafikia 75%
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Gairo Mkoa wa Morogoro, imetekeleza agizo la Rais Dk. Samia Suluhu Hassan la kujenga daraja la…
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Gairo Mkoa wa Morogoro, imetekeleza agizo la Rais Dk. Samia Suluhu Hassan la kujenga daraja la…
IMEELEZWA kuwa Serikali kupitia Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) imekamilisha kwa asilimia 100 miradi 25 ya ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilometa 1,198 iliyogharimu Sh trilioni 1.68 katika kipindi…
Na Mwandishi Wetu, Mwanza IMEELEZWA kuwa Serikali imewekeza Sh60 bilioni kuboresha bandari tatu kuu za Ziwa Victoria ili kurahusisha huduma za usafiri katika ukanda huo pamoja na kukuza uchumi wa…
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Eng. Aisha Amour pamoja na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kufika…
Rais Samia Suluhu Hasan anatarajia kuondoka nchini leo tarehe 29 Oktoba, 2024 kuelekea Des Moines, lowa, nchini Marekani kuhudhuria Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug ulioandaliwa na Taasisi ya…
BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) leo tarehe 29 Oktoba, 2024 limetangaza matokeo ya mitihani ya darasa la saba ambayo yanaonesha kuwa jumla ya watahiniwa 974,229 sawa na 80.87%, watahiniwa wenye…
SERIKALI ya Morocco imekubali kununua treni za mwendo kasi kutoka kwa kampuni ya Ufaransa ya Alstom, ukiwa moja ya mikataba iliotiwa saini wakati wa ziara ya Rais Emmanuel Macron, kwenye…
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limepanga kuanzisha tena safari za moja kwa moja kuelekea Jonannesburg nchini Afrika Kusini. Kulingana na ATCL, safari hizo ambazo zitakuwa mara tano kwa wiki,…
Kiungo wa kati wa Uhispania na Manchester City, Rodrigo Hernández Cascante ‘Rodri’ ameshinda tuzo ya Ballon d'Or ya mchezaji bora wa dunia kwa mwaka 2024, akiwashinda Mbrazil Vinicius Jr na…
Na Mwandishi Wetu, Katavi Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeendelea kuboresha huduma za usafiri na usafirishaji kwa kujenga barabara, vivuko na madaraja katika maeneo mbalimbali mkoani Katavi…