Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article Benki TCB yazindua Lipa Popote kurahisisha malipo kwa wafanyabiashara

Benki TCB yazindua Lipa Popote kurahisisha malipo kwa wafanyabiashara

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 13, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Benki ya Biashara Tanzania (TCB) inajivunia kutangaza uzinduzi wa bidhaa ya LIPA POPOTE, suluhisho la malipo lililobuniwa ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs) na wamiliki wa…

Continue ReadingBenki TCB yazindua Lipa Popote kurahisisha malipo kwa wafanyabiashara
Read more about the article Mamia wajitokeza kupima macho Dar, waishukuru CCBRT

Mamia wajitokeza kupima macho Dar, waishukuru CCBRT

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 13, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ZAIDI ya wagonjwa 1,000 wa macho wengine 200  wa rufaa wamepimwa macho na kupatiwa matibabu katika zoezi linaloratibiwa na Hospital ya CCBRT katika kambi tatu…

Continue ReadingMamia wajitokeza kupima macho Dar, waishukuru CCBRT
Read more about the article Trump ampa ulaji Elon Musk

Trump ampa ulaji Elon Musk

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 13, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais mteule wa Marekani, Donald Trump usiku wa kuamkia leo Jumatano ametangaza kuwa atamteua bilionea Elon Musk na mgombea urais wa zamani wa chama cha Republican, Vivek Ramaswamy kuongoza ldara…

Continue ReadingTrump ampa ulaji Elon Musk
Read more about the article Dk. Mpango: Nishati safi ya kupikia ipewe hadhi ya kipekee

Dk. Mpango: Nishati safi ya kupikia ipewe hadhi ya kipekee

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 13, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango ametoa wito kwa Mkutano wa COP29 kulipa hadhi ya kipekee suala la matumizi ya nishati safi ya kupikia katika mjadala wa kuhamasisha upatikanaji fedha…

Continue ReadingDk. Mpango: Nishati safi ya kupikia ipewe hadhi ya kipekee
Read more about the article Mwendesha mashtaka wa ICC achunguzwa kwa unyanyasaji kingono
Karim Khan

Mwendesha mashtaka wa ICC achunguzwa kwa unyanyasaji kingono

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 12, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Uhalifu, ICC ya mjini The Hague, Päivi Kaukoranta amesema wameanzisha uchunguzi dhidi ya Mwendesha mashtaka mkuu Karim Khan anayetuhumiwa kwa unyanyasaji wa…

Continue ReadingMwendesha mashtaka wa ICC achunguzwa kwa unyanyasaji kingono
Read more about the article TARURA yakamilisha ujenzi wa daraja la mto Kalambo

TARURA yakamilisha ujenzi wa daraja la mto Kalambo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 12, 2024
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Na Mwandishi Wetu, Rukwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekamilisha ujenzi wa daraja la mto Kalambo lenye urefu wa mita 80 pamoja na ujenzi wa…

Continue ReadingTARURA yakamilisha ujenzi wa daraja la mto Kalambo
Read more about the article Majaliwa: Baraza la mawaziri sasa kidijitali

Majaliwa: Baraza la mawaziri sasa kidijitali

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 12, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa matumizi ya mfumo wa kielektroniki wa Baraza la Mawaziri utasaidia kuboresha utendaji kazi na kuleta ufanisi zaidi katika kuwahudumia wananchi. Amesema kuwa maboresho hayo…

Continue ReadingMajaliwa: Baraza la mawaziri sasa kidijitali
Read more about the article Tanzania yaanza kufaidi uzalishaji umeme Rusumo
Mradi wa umeme Rusumo

Tanzania yaanza kufaidi uzalishaji umeme Rusumo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 11, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Imeelezwa kuwa, mradi wa kufua umeme unaotokana na maji wa Rusumo, umeanza kuzalisha megawati 80 ambazo zinagawanywa kwa usawa wa megawati 26.6 kwa nchi ya Tanzania, Rwanda na Burundi na…

Continue ReadingTanzania yaanza kufaidi uzalishaji umeme Rusumo
Read more about the article Rais Biden, Trump kujadili vita vya Ukraine

Rais Biden, Trump kujadili vita vya Ukraine

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 11, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais Joe Biden wa Marekani anatarajiwa kujadiliana na Rais mteule Donald Trump kuhusu vipaumbele vya sera za ndani na nje, wakati watakapokutana keshokutwa Jumatano huku suala la vita vya Ukraine…

Continue ReadingRais Biden, Trump kujadili vita vya Ukraine
Read more about the article Ruud aondoka, Amorim achukua rasmi mikoba ya Man. United

Ruud aondoka, Amorim achukua rasmi mikoba ya Man. United

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 11, 2024
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani

Baada ya kuiongoza Manchester United kwa ushindi wa mechi nne mfululizo, hatimaye kocha Ruud Van Nistelrooy amebwaga mikoba ya ukocha klabuni hapo na kumpisha Ruben Amorim kuendelea kuongoza klabu hiyo.…

Continue ReadingRuud aondoka, Amorim achukua rasmi mikoba ya Man. United
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 120
  • 121
  • 122
  • 123
  • 124
  • 125
  • 126
  • …
  • 135
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website