Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article Rais Samia amwaga milioni 700 kwa wachezaji Taifa stars

Rais Samia amwaga milioni 700 kwa wachezaji Taifa stars

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 19, 2024
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa zawadi ya Sh Milioni 700 kwa timu ya Taifa (Taifa Stars), kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya…

Continue ReadingRais Samia amwaga milioni 700 kwa wachezaji Taifa stars
Read more about the article TFS Magu yagawa miti 13,059 kwa wanafunzi Magu, Sukuma

TFS Magu yagawa miti 13,059 kwa wanafunzi Magu, Sukuma

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 19, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

HALMASHAURI ya Wilaya Magu kupitia Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) umegawa miche ya miti 13,059 kwa shule za sekondari Sukuma na msingi Magu kwa lengo kuendelea kuhamasisha upandaji miti…

Continue ReadingTFS Magu yagawa miti 13,059 kwa wanafunzi Magu, Sukuma
Read more about the article Waziri Silaa aanika mipango ya ushirikiano na wanahabari
Jerry Silaa

Waziri Silaa aanika mipango ya ushirikiano na wanahabari

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 18, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema amejipanga kuhakikisha sekta ya habari inaimarika kwa kufanya marekebisho ya sera na sheria ili kuendana na mahitaji ya kisasa.…

Continue ReadingWaziri Silaa aanika mipango ya ushirikiano na wanahabari
Read more about the article TARURA Manyara kufungua barabara mpya km. 109

TARURA Manyara kufungua barabara mpya km. 109

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 17, 2024
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Na Mwandishi Wetu, Manyara Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Manyara ina mpango wa kufungua barabara mpya zenye urefu Km. 109 katika Wilaya ya Mbulu, Simanjiro…

Continue ReadingTARURA Manyara kufungua barabara mpya km. 109
Read more about the article TNBC yazindua kikundi kazi ‘Uchumi wa Buluu’

TNBC yazindua kikundi kazi ‘Uchumi wa Buluu’

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 17, 2024
  • Post category:Usafiri wa Majini

Kikundi kazi cha Baraza la Biashara nchini (TNBC) kwa ajili ya kuangalia fursa za kiuchumi zitakazopatikana kupitia Uchumi wa Buluu kimezinduliwa jijini Dar es Salaam, huku wajumbe wa kikundi hicho…

Continue ReadingTNBC yazindua kikundi kazi ‘Uchumi wa Buluu’
Read more about the article Wabunge waridhishwa na utendaji kazi wa benki ya TCB

Wabunge waridhishwa na utendaji kazi wa benki ya TCB

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 17, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

 KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeeleza kuridhishwa na utendaji kazi wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB), huku ikiielekeza benki hiyo kuendelea kutoa gawio…

Continue ReadingWabunge waridhishwa na utendaji kazi wa benki ya TCB
Read more about the article  Tanzania, Marekani zajadili utaratibu wa uwindaji wa tembo

 Tanzania, Marekani zajadili utaratibu wa uwindaji wa tembo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 14, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Arusha Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk. Pindi Chana amefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na ujumbe kutoka Idara ya Uvuvi na Wanyamapori ya Serikali ya…

Continue Reading Tanzania, Marekani zajadili utaratibu wa uwindaji wa tembo
Read more about the article Mameneja TARURA watakiwa kukagua, kufanyia usafi madaraja na makalavati

Mameneja TARURA watakiwa kukagua, kufanyia usafi madaraja na makalavati

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 14, 2024
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Na Mwandishi Wetu, Lindi Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff  amewaagiza Mameneja  wa TARURA wa Wilaya kote nchini kukagua na kusafisha madaraja…

Continue ReadingMameneja TARURA watakiwa kukagua, kufanyia usafi madaraja na makalavati
Read more about the article Dk. Mpango ataka ubunifu wa vijana uzingatiwe katika matumizi ya nishati safi
Dk. Philip Mpango

Dk. Mpango ataka ubunifu wa vijana uzingatiwe katika matumizi ya nishati safi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 14, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Ili kufikia malengo tarajiwa katika matumizi ya nishati safi ya kupikia, Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango amesema ni muhimu uvumbuzi na ubunifu wa vijana ukazingatiwa.  Kauli hiyo ya Dk…

Continue ReadingDk. Mpango ataka ubunifu wa vijana uzingatiwe katika matumizi ya nishati safi
Read more about the article Marekani yasitisha safari za ndege za Haiti kufuatia shambulizi

Marekani yasitisha safari za ndege za Haiti kufuatia shambulizi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 14, 2024
  • Post category:Usafiri wa Anga

Mamlaka ya kitaifa ya kusimamia safari za ndege nchini Marekani jana Jumanne imetangaza kuwa itapiga marufuku safari za ndege za Marekani kuelekea Haiti kwa siku 30 baada ya ndege ya…

Continue ReadingMarekani yasitisha safari za ndege za Haiti kufuatia shambulizi
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 119
  • 120
  • 121
  • 122
  • 123
  • 124
  • 125
  • …
  • 135
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website