Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article NMB yanyakua tuzo zaidi ya 30 za ubora na umahiri mwaka 2024

NMB yanyakua tuzo zaidi ya 30 za ubora na umahiri mwaka 2024

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 5, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu Benki ya NMB imedhihirisha tena ukubwa wake nchini, baada ya mwaka huu kuweka rekodi kwa kutwaa zaidi ya tuzo 30 zinazotambua ubora wa huduma zake, ubunifu, ufanisi…

Continue ReadingNMB yanyakua tuzo zaidi ya 30 za ubora na umahiri mwaka 2024
Read more about the article Watu wa asili waupongeza mradi wa EACOP kuthamini mila, tamaduni zao

Watu wa asili waupongeza mradi wa EACOP kuthamini mila, tamaduni zao

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 5, 2024
  • Post category:Usafiri wa Majini

Na Mwandishi Wetu, Arusha  Watu wa jamii zinazoishi pembezoni mwa miji wanaojulikana kama watu wa asili wameupongeza mradi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kwa kuendelea kuheshimu…

Continue ReadingWatu wa asili waupongeza mradi wa EACOP kuthamini mila, tamaduni zao
Read more about the article TARURA yarejesha km 74.7 miundombinu ya wahanga Hanang

TARURA yarejesha km 74.7 miundombinu ya wahanga Hanang

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 5, 2024
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Na Mwandishi Wetu, Manyara Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Hanang imefanikiwa kurejesha miundombinu ya barabara iliyoathiriwa na mafuriko ya tope, magogo na mawe mwishoni mwa…

Continue ReadingTARURA yarejesha km 74.7 miundombinu ya wahanga Hanang
Read more about the article Wahasibu Afrika waaswa kuisimamia ukweli wa taaluma yao

Wahasibu Afrika waaswa kuisimamia ukweli wa taaluma yao

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 5, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewaasa wahasibu barani Afrika kuisimamia taaluma yao kikamilifu kwa sababu Afrika inawategemea kunufaika na utajiri wake.…

Continue ReadingWahasibu Afrika waaswa kuisimamia ukweli wa taaluma yao
Read more about the article Aweso atua Korea kusaka teknolojia za upotevu wa maji nchini

Aweso atua Korea kusaka teknolojia za upotevu wa maji nchini

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 4, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso amewasili Seoul nchini Korea Kusini kwa mualiko maalumu wa Benki ya Exim ya Korea na mfuko wa mashirikiano ya kiuchumi wa Korea (EDCF) ambapo…

Continue ReadingAweso atua Korea kusaka teknolojia za upotevu wa maji nchini
Read more about the article DC Magu akabidhi baiskeli 67 kwa wakulima wa pamba

DC Magu akabidhi baiskeli 67 kwa wakulima wa pamba

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 4, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

MKUU wa wilaya ya Magu, Joshua Nassari amegawa baiskeli 67 kwa wakulima viongozi wa zao la pamba kutoka tarafa za Kahangara na Itumbili wilayani humo ili kuwarahisisha usafiri wa kufika…

Continue ReadingDC Magu akabidhi baiskeli 67 kwa wakulima wa pamba
Read more about the article Kicheko bei ya petroli, dizeli ikiendelea kushuka

Kicheko bei ya petroli, dizeli ikiendelea kushuka

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 4, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

BEI ya mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa imeendelea kushuka baada ya bei za mafuta yanayoingia nchini kupitia bandari mbalimbali kutangazwa kushuka kuanzia leo Jumatano, Desemba 4, 2024.…

Continue ReadingKicheko bei ya petroli, dizeli ikiendelea kushuka
Read more about the article Polisi yawatia mbaroni 8 wanaodaiwa kumteka Tarimo

Polisi yawatia mbaroni 8 wanaodaiwa kumteka Tarimo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 4, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

HATIMAYE Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa nane wanaodaiwa kutaka kumteka Deogratius Tarimo, mkazi wa Kiluvya jijini Dar es Salaam. Hatua hiyo imekuja ikiwa zimepita…

Continue ReadingPolisi yawatia mbaroni 8 wanaodaiwa kumteka Tarimo
Read more about the article Waziri Chana awafunda maafisa wanyamapori

Waziri Chana awafunda maafisa wanyamapori

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 4, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Hazara Chana amewataka Maafisa Wanyamapori wote nchini kuchukua hatua madhubuti  ya kulinda na  kuhifadhi wanyapori ikiwa ni pamoja na  kuweka mikakati ya…

Continue ReadingWaziri Chana awafunda maafisa wanyamapori
Read more about the article Milioni 300 kufikisha umeme shule ya Lucas Mhina Monduli

Milioni 300 kufikisha umeme shule ya Lucas Mhina Monduli

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 4, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Arusha Serikali imeahidi kufikisha umeme katika Shule ya Msingi ya Lucas Mhina ili wanafunzi na wanakijiji wapate nishati ya umeme itakayowawezesha kuendelea na shughuli za kiuchumi na…

Continue ReadingMilioni 300 kufikisha umeme shule ya Lucas Mhina Monduli
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 116
  • 117
  • 118
  • 119
  • 120
  • 121
  • 122
  • …
  • 135
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website