Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article Mastaa kibao albamu mpya ya Eric Bellinger

Mastaa kibao albamu mpya ya Eric Bellinger

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 3, 2024
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani

NA JOSEPH SHALUWA  ALBAMU mpya ya staa wa muziki  nchini Nigeria, Eric Bellinger  inayokwenda kwa jina la  'It’ll All Make Sense Later' imewashirikisha mastaa kibao akiwemo Burna Boy ambaye ana Tuzo ya Muziki…

Continue ReadingMastaa kibao albamu mpya ya Eric Bellinger
Read more about the article TPA mwajiri bora sekta ya umma 2024

TPA mwajiri bora sekta ya umma 2024

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 3, 2024
  • Post category:Usafiri wa Majini

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Mamlaka ya Usimamizi waBandari Tanzania (TPA) kwa mara ya tatu mfululizo imetangazwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) kuwa ni mwajiri bora wa sekta…

Continue ReadingTPA mwajiri bora sekta ya umma 2024
Read more about the article Rais Biden amsamehe mwanaye mashtaka ya jinai

Rais Biden amsamehe mwanaye mashtaka ya jinai

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 2, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais wa Marekani, Joe Biden amempa mwanaye Hunter Biden msamaha wa rais na kumuepushia kifungo jela kutokana na makosa ya umiliki wa bunduki kinyume cha sheria na madai ya kukwepa…

Continue ReadingRais Biden amsamehe mwanaye mashtaka ya jinai
Read more about the article Rais Samia aunda tume kuchunguza zoezi la uhamaji Ngorongoro

Rais Samia aunda tume kuchunguza zoezi la uhamaji Ngorongoro

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 2, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais Samia Suluhu Hassan amesema ataunda tume mbili ambapo moja itachunguza na kutoa mapendakezo kuhusu masuala ya ardhi yanayolalamikiwa na wakazi wa Ngorongoro huku tume nyingine ikiangalia utekelezaji wa zoezi…

Continue ReadingRais Samia aunda tume kuchunguza zoezi la uhamaji Ngorongoro
Read more about the article Viongozi wa dini, siasa wapongeza miradi ya maendeleo inayotekelezwa Magu

Viongozi wa dini, siasa wapongeza miradi ya maendeleo inayotekelezwa Magu

  • Post author:Gabriel
  • Post published:December 2, 2024
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Na Mwandishi Wetu VIONGOZI wa dini, mila na siasa katika Halmashauri ya wilaya ya Magu mkoani Mwanza wameipongeza Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa…

Continue ReadingViongozi wa dini, siasa wapongeza miradi ya maendeleo inayotekelezwa Magu
Read more about the article Biteko: Waajiri ongezeni utu, umakini kazini kukuza ubunifu

Biteko: Waajiri ongezeni utu, umakini kazini kukuza ubunifu

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 30, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewahimiza waajiri nchini kuongeza umakini na kuzingatia misingi ya utu mahali pa kazi ili iwe motisha na chachu kwa watumishi…

Continue ReadingBiteko: Waajiri ongezeni utu, umakini kazini kukuza ubunifu
Read more about the article Dk. Biteko ataka mamlaka za usafirishaji majini Afrika kushirikiana kuboresha huduma 

Dk. Biteko ataka mamlaka za usafirishaji majini Afrika kushirikiana kuboresha huduma 

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 29, 2024
  • Post category:Usafiri wa Majini

Jumuiya ya Mamlaka za Usimamizi wa Usafiri majini Barani Afrika zimetakiwa kushirikiana na kuungana ili kuimarisha usalama wa sekta ya usafirishaji majini na hivyo kuchochea maendeleo ya Uchumi katika nchi…

Continue ReadingDk. Biteko ataka mamlaka za usafirishaji majini Afrika kushirikiana kuboresha huduma 
Read more about the article NMB yazindua Worldwide Pesa inayowezesha kutuma na kupokea fedha EAC, SADC

NMB yazindua Worldwide Pesa inayowezesha kutuma na kupokea fedha EAC, SADC

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 29, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

NA MWANDISHI WETU BENKI ya NMB imezindua Huduma ya Kimkakati kwa Ustawi wa Sekta ya Fedha na Uchumi wa Taifa ‘NMB Worldwide Pesa, inayowapa fursa Watanzania ya kutuma na kupokea…

Continue ReadingNMB yazindua Worldwide Pesa inayowezesha kutuma na kupokea fedha EAC, SADC
Read more about the article Dk. Biteko awaongoza wananchi Bulangwa kuchagua viongozi wa serikali za mitaa

Dk. Biteko awaongoza wananchi Bulangwa kuchagua viongozi wa serikali za mitaa

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 27, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 27 Novemba 2024 amewaongoza wananchi wa Kata ya Bulangwa wilayani Bukombe mkoani Geita kupiga kura kuwachagua viongozi…

Continue ReadingDk. Biteko awaongoza wananchi Bulangwa kuchagua viongozi wa serikali za mitaa
Read more about the article NMB yagawa madawati ya milioni 23 kwa shule 3 Iringa

NMB yagawa madawati ya milioni 23 kwa shule 3 Iringa

  • Post author:Gabriel
  • Post published:November 26, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Benki ya NMB imetoa msaada wa mabati 150 na madawati 150 kwa shule za msingi KASANGA, KISASA na SAWALA zilizopo wilayani mufindi mkoani Iringa vyenye thamani ya zaidi ya shilingi…

Continue ReadingNMB yagawa madawati ya milioni 23 kwa shule 3 Iringa
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 117
  • 118
  • 119
  • 120
  • 121
  • 122
  • 123
  • …
  • 135
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website