JKT Queens yapangwa kundi A CAF
TIMU ya Wanawake ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 ya JKT Queens, imepangwa kundi A katika mashindano ya CAF, ukanda wa CECAFA yatakayofanyika katika uwanja wa Azam Complex…
TIMU ya Wanawake ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 ya JKT Queens, imepangwa kundi A katika mashindano ya CAF, ukanda wa CECAFA yatakayofanyika katika uwanja wa Azam Complex…
Wahamiaji 27 wakiwemo wanawake na watoto, wamefariki dunia wakati boti mbili zilipopinduka kwenye pwani katikati mwa Tunisia, huku watu 83 wakiwa wameokolewa. Afisa wa ulinzi wa kiraia aliliambia shirika la…
Watuhumiwa watano akiwamo katibu wa Mbunge wa Kilolo, Kefa Walles, Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi kupitia CCM wilaya ya Kilolo, Hedikosi Kimwaga, Diwani kata ya Nyanzwa, Boniface Ugwale maarufu kama…
Mtoto Mwenye umri wa miaka nane Mkazi wa Uruira katika halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi amefariki dunia kwa kujinyonga huku chanzo kikidaiwa kuwa ni msongo wa mawazo baada ya kutonunuliwa…
Polisi wa Kata, Makoye Kitula katika Kata ya Nyigogo iliyopo katika wilaya ya Magu mkoani Mwanza ambaye pia Mkaguzi msaidizi wa Jeshi la Polisi amesimikwa uchifu na kupewa jina la…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imewasihi wadau wa Ununuzi wa Umma Mikoa ya Kanda ya Ziwa kushiriki mafunzo ya matumizi ya moduli ya…
Mbunge wa Mafinga na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Cosato Chumi (CCM) ametembelea TFS-Shamba la Miti Sao Hill na kuwataka wahifadhi kuendelea kutoa elimu…
Uganda inatarajiwa kuzindua awamu ya tatu ya utoaji leseni ya utafiti wa mafuta katika mwaka wa fedha unaoanza mwezi Julai. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati na Madini, Ruth Nankabirwa…
Maafisa nchini Korea Kusini wamefanikiwa kuingia katika makazi ya rais mapema leo Ijumaa, wakijaribu kumkamata kiongozi aliyeondolewa madarakani Yoon Suk Yeol huku wafuasi wake wakiendelea kupiga kambi nje ya makazi…
Afisa wa polisi mlevi nchini Zambia amewaachilia washukiwa 13 kutoka kizuizini ili waende kusherehekea mwaka mpya. Inspekta wa upelelezi Titus Phiri alikamatwa baada ya kuwaachilia washukiwa hao kutoka kituo cha…