Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Type then hit enter to search
Read more about the article Safari za ndege zaanza tena Iran baada ya kusitishwa

Safari za ndege zaanza tena Iran baada ya kusitishwa

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 7, 2024
  • Post category:Usafiri wa Anga

Ratiba ya safari za ndege imerudi kama kawaida nchini Iran baada ya hali ya usalama kuwa nzuri, saa sita tu kabla ya muda wa mwisho uliotangazwa wa kusitishwa kwa safari…

Continue ReadingSafari za ndege zaanza tena Iran baada ya kusitishwa
Read more about the article Rais Samia aipa tano Oryx kushiriki kugawa mitungi 5000 kwa walimu

Rais Samia aipa tano Oryx kushiriki kugawa mitungi 5000 kwa walimu

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 7, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Mwandishi Wetu, Arusha KATIKA kuadhimisha kilele cha siku ya walimu duniani kampuni ya Oryx Gas Tanzania kwa ushirikiano na wadau mbalimbali wametoa mitungi ya gesi 5000 yenye thamani ya Sh.milioni…

Continue ReadingRais Samia aipa tano Oryx kushiriki kugawa mitungi 5000 kwa walimu
Read more about the article Ndege ya kwanza kutengenezwa Tanzania yaanza safari zake

Ndege ya kwanza kutengenezwa Tanzania yaanza safari zake

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 2, 2024
  • Post category:Usafiri wa Anga

Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuwa ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, zinazojulikana kama Skyleader 600, zimeanza rasmi safari zake ndani na nje ya…

Continue ReadingNdege ya kwanza kutengenezwa Tanzania yaanza safari zake
Read more about the article Pemba yaanza kupokea meli za mizigo, kupunguza gharama za usafirishaji

Pemba yaanza kupokea meli za mizigo, kupunguza gharama za usafirishaji

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 30, 2024
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Meli ya kwanza ya makontena imetia nanga katika Bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba na kupokewa na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi Licha ya kuwapo bandari…

Continue ReadingPemba yaanza kupokea meli za mizigo, kupunguza gharama za usafirishaji
Read more about the article TEMESA kushirikiana na sekta binafsi uendeshaji wa karakana, vivuko

TEMESA kushirikiana na sekta binafsi uendeshaji wa karakana, vivuko

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 25, 2024
  • Post category:Usafiri wa Majini

Na Mwandishi Wetu Wakala wa Ufundi na Umeme wa Tanzania (TEMESA) imepanga kuendesha vivuko, karakana na mitambo ya kukodishwa kwa ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi ili…

Continue ReadingTEMESA kushirikiana na sekta binafsi uendeshaji wa karakana, vivuko
Read more about the article Relieving Songea’s Gridlock: Government Unveils Bypass and Roads to Boost Connectivity

Relieving Songea’s Gridlock: Government Unveils Bypass and Roads to Boost Connectivity

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 25, 2024
  • Post category:Uncategorized

By Staff Reporter, Ruvuma; - In a strategic move to address the persistent traffic congestion plaguing Songea Town, the government has announced a comprehensive infrastructure development plan that will transform…

Continue ReadingRelieving Songea’s Gridlock: Government Unveils Bypass and Roads to Boost Connectivity
Read more about the article Rais Samia azindua maghala 28 ya kuhifadhi chakula vijijini

Rais Samia azindua maghala 28 ya kuhifadhi chakula vijijini

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 24, 2024
  • Post category:Uncategorized

Na Mwandishi Wetu, Ruvuma Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa maghala 28 ya kuhifadhi nafaka katika eneo la ghala la Luhimba, Mkoani Ruvuma leo tarehe…

Continue ReadingRais Samia azindua maghala 28 ya kuhifadhi chakula vijijini
Read more about the article Viongozi wa kimila 103 wapewa mafunzo kuhusu mradi wa EACOP

Viongozi wa kimila 103 wapewa mafunzo kuhusu mradi wa EACOP

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 23, 2024
  • Post category:Uncategorized

JUMLA ya viongozi wa kimila 103 kutoka makundi ya watu wa asili (VEG-IP) wanaopitiwa na Mradi wa ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP)  wamenolewa na…

Continue ReadingViongozi wa kimila 103 wapewa mafunzo kuhusu mradi wa EACOP
Read more about the article TPA yataja faida ujenzi bandari mpya Mbamba bay

TPA yataja faida ujenzi bandari mpya Mbamba bay

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 22, 2024
  • Post category:Usafiri wa Majini

Na Mwandishi Wetu, Ruvuma Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari hapa nchini (TPA) imesema kuwa ujenzi wa bandari mpya ya kisasa wa Mbamba Bay unaogharimu kiasi cha bilioni 75.8 ni mradi…

Continue ReadingTPA yataja faida ujenzi bandari mpya Mbamba bay
Read more about the article EACOP kutoa fursa za   ajira kwa vijana 143 wa Tanzania, Uganda

EACOP kutoa fursa za   ajira kwa vijana 143 wa Tanzania, Uganda

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 19, 2024
  • Post category:Uncategorized

Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) utatoa ajira kwa vijana wazawa 143 kutoka nchini Tanzania na Uganda waliofuzu mafunzo ya kozi maalum ya nishati za…

Continue ReadingEACOP kutoa fursa za   ajira kwa vijana 143 wa Tanzania, Uganda
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 121
  • 122
  • 123
  • 124
  • 125
  • 126
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search
Close Menu