DAWASA waanza matengenezo mtambo wa Ruvu Juu
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa maandalizi ya matengenezo ya dharura ili kuzuia uvujaji wa maji katika maungio ya bomba la inchi…
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa maandalizi ya matengenezo ya dharura ili kuzuia uvujaji wa maji katika maungio ya bomba la inchi…
Na Mwandishi Wetu, Arusha Mradi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki ( EACOP ) umeanzisha mpango wa kuwasaidia waguswa wa mradi huo wanaoishi pembezoni mwa miji, maarufu kama…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeendelea kupokea meli kubwa za mizigo katika bandari yake ya Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mafanikio baada…
Watanzania wametakiwa kuchangamkia fursa ya ufugaji wa sungura kutokana na kuwapo kwa soko la wanyama hao nchini na duniani. Jackline Charles Kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Magu Mohamed Ramadhan Kyande wakati…
Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu, ubunifu, juhudi, maarifa na upendo ili kuendana na kasi ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia…
Na Mwandishi Wetu-Mwanza Serikali imetoa rai kwa Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini kufanya tafiti za bidhaa za mazao ya uvuvi, hususani kwa upande wa Ziwa Victoria ambalo kwa sehemu kubwa linagusa…
Wafanyakazi wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) nchini Tanzania wameendelea na mgomo wa chakula kwa siku ya pili kushinikiza uongozi wa kampuni hiyo kutimiza ahadi yake kuhusu gharama…
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameiagiza Idara ya Menejimenti ya Maafa na Jeshi la Zimamoto kutumia mapendekezo yaliyomo kwenye tafiti ya marehemu Billy Mwakatage ambaye ni mhitimu wa shahada ya Uzamivu…
Na Mwandishi Maalum, Dar es Salaam Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee John Malecela, amewataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwa na moyo wa kizalendo na…
Makamu wa Rais Tanzania, Dk. Philip Mpango amesema Tanzania inaendelea kufanya mashauriano ndani ya Serikali ili kuona namna itakavyoweza kushiriki katika uendelezaji wa Ushoroba wa Lobito kwa kuzingatia vipaumbe vya…