Gridi za Tanzania, Kenya kuimarisha upatikanaji wa umeme nchini
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga amesema kuimarika kwa mfumo wa Gridi za Umeme za Tanzania na Kenya kutasaidia kuimarisha upatikanaji wa umeme katika…
