Ghana yazindua visa ya bila malipo kwa Waafrika wote
Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo amesema wamiliki wote wa pasipoti wa Kiafrika sasa wanaweza kuzuru Ghana bila kuhitaji visa. Rais huyo anayemaliza muda wake alitangaza mpango huo mwezi uliopita lakini…
