Waziri Kombo aagana na Balozi wa Algeria
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Balozi wa Algeria nchini, Ahmed Djellal aliyefika katika ofisi za Wizara Dar es Salaam kutoa…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Balozi wa Algeria nchini, Ahmed Djellal aliyefika katika ofisi za Wizara Dar es Salaam kutoa…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Philip Mpango amesema Tanzania inathamini ushirikiano uliopo na Taifa la Marekani ambao umetoa mchango katika maendeleo ya sekta mbalimbali. Makamu wa…
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kampeni yake ya nyumba kwa nyumba ya kutoa elimu kuhusu faida na matumizi ya umeme pamoja na kuhamasisha wananchi kuunganisha umeme. Akizungumza wakati wa…
Na Mwandishi Wetu, Tabora Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima ameipongeza Serikali ya mkoa wa Tabora kwa hatua nzuri katika utekelezaji wa miradi…
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amepokea taarifa maalumu ya mapendekezo ya aina ya michoro ya vazi la Taifa kutoka kwa kamati iliyoundwa kwa ajili ya…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mashauriano ya Kisiasa ya Tatu Kati ya Tanzania na Norway yamefanyika jijini Dar es Salaam tarehe 9 Januari,2025 ambapo nchi hizo zimethibitisha dhamira ya…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza kufumuliwa kwa Kituo cha Huduma kwa Wateja cha Shirika la Umeme Nchini, (TANESCO)…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wazazi na walezi nchini wamekumbushwa kuzingatia jukumu la kulea watoto katika ngazi ya familia ili wapate huduma za malezi bora na upendo wa dhati kutoka…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Lake Gas Ltd ambaye atahudumia Mkoa wa Dodoma kwa kuuza kwa bei ya ruzuku…
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew ametembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa maji Chalinze awamu ya tatu na kuridhishwa na utekelezaji wa mradi huo unaonufaisha zaidi ya wakazi…