Polisi awaachia washukiwa 13 wakasherehekee mwaka mpya
Afisa wa polisi mlevi nchini Zambia amewaachilia washukiwa 13 kutoka kizuizini ili waende kusherehekea mwaka mpya. Inspekta wa upelelezi Titus Phiri alikamatwa baada ya kuwaachilia washukiwa hao kutoka kituo cha…
