Kabudi amtaka mkandarasi Changamani kuongeza kasi
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amemtaka mkandarasi wa kituo Changamani cha mazoezi na kupumzikia wananchi jijini Dodoma kuongeza kasi ili kukamilisha mradi huo kwa wakati.…
