Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Type then hit enter to search
Read more about the article Ujenzi daraja la Jangwani waiva, Bashungwa ashuhudia utiaji saini

Ujenzi daraja la Jangwani waiva, Bashungwa ashuhudia utiaji saini

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 22, 2024
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa leo tarehe 22 Oktoba 2024 ameshuhudia utiaji saini, ujenzi wa daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 litakalounganisha kipande cha Magomeni Wilaya ya Kinondoni…

Continue ReadingUjenzi daraja la Jangwani waiva, Bashungwa ashuhudia utiaji saini
Read more about the article Dk. Mpango ataka utafiti vijana kupenda ‘mashangazi’

Dk. Mpango ataka utafiti vijana kupenda ‘mashangazi’

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 22, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango Makamu wa Rais ameitaka Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF) pamoja na Watalaam wa fikra tunduizi kufanya utafiti kuhusu tabia za hivi…

Continue ReadingDk. Mpango ataka utafiti vijana kupenda ‘mashangazi’
Read more about the article TARURA yakamilisha ujenzi barabara, daraja la bil.4.2 Msadya

TARURA yakamilisha ujenzi barabara, daraja la bil.4.2 Msadya

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 21, 2024
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Na Mwandishi Wetu, Katavi Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekamilisha ujenzi wa daraja la Msadya lenye urefu wa mita 60 na upana mita 10.5 pamoja…

Continue ReadingTARURA yakamilisha ujenzi barabara, daraja la bil.4.2 Msadya
Read more about the article NBC yafurahia Derby ya Kariakoo na wateja

NBC yafurahia Derby ya Kariakoo na wateja

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 21, 2024
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani

Na Mwandishi Dar es Salaam Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambae ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya NBC jana iliipamba mechi ya Simba na Yanga maarufu kama ‘Kariakoo…

Continue ReadingNBC yafurahia Derby ya Kariakoo na wateja
Read more about the article China kuwekeza trilioni 3 kumaliza foleni Dar es Salaam

China kuwekeza trilioni 3 kumaliza foleni Dar es Salaam

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 21, 2024
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Serikali inafanya mazungumzo na kampuni ya China Overseas Engineering Group Co. Ltd. (COVEC) ambayo imeonesha nia kuwekeza Dola za Marekani bilioni 1 (zaidi ya…

Continue ReadingChina kuwekeza trilioni 3 kumaliza foleni Dar es Salaam
Read more about the article Wanafunzi wapongeza maboresho mfumo mpya NIDA

Wanafunzi wapongeza maboresho mfumo mpya NIDA

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 21, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam Baadhi ya wananchi na wanafunzi wamepongeza maboresho ya kituo cha huduma ya wateja cha Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ambacho kinataja kuwarahisisha utoaji…

Continue ReadingWanafunzi wapongeza maboresho mfumo mpya NIDA
Read more about the article Bandari Tanga yahudumia meli kubwa baada ya uwekezaji wa bilioni 429.1
Screenshot

Bandari Tanga yahudumia meli kubwa baada ya uwekezaji wa bilioni 429.1

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 20, 2024
  • Post category:Usafiri wa Majini

Na Mwandishi Wetu, Tanga IMEELEZWA kuwa utendaji wa Bandari ya Tanga umeimarika kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na uwekezaji wa serikali wa Sh429.1 bilioni.  Bandari ya…

Continue ReadingBandari Tanga yahudumia meli kubwa baada ya uwekezaji wa bilioni 429.1
Read more about the article NMB yaing’arisha Tz, yawa benki ya kwanza kuzindua mfumo wa Lipa kwa QR Link
Screenshot

NMB yaing’arisha Tz, yawa benki ya kwanza kuzindua mfumo wa Lipa kwa QR Link

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 19, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Kwa mara ya kwanza duniani na kwa kushirikiana na @mastercard, Benki ya NMB (@nmbtanzania) imezindua rasmi mfumo wa malipo wa Lipa kwa QR link (QR pay by link with click…

Continue ReadingNMB yaing’arisha Tz, yawa benki ya kwanza kuzindua mfumo wa Lipa kwa QR Link
Read more about the article EACOP kuboresha mazalia ya Sungura, pomboo na ndege wa Burigi

EACOP kuboresha mazalia ya Sungura, pomboo na ndege wa Burigi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 18, 2024
  • Post category:Usafiri wa Majini

IMEELEZWA kuwa Mradi wa bomba la mafuta ghafi wa Afrika Mashariki (EACOP) kupitia programu ya urejeshaji na ulinzi wa viumbe hai wa baharini na ajira katika mwambao wa Tanga, unatarajiwa…

Continue ReadingEACOP kuboresha mazalia ya Sungura, pomboo na ndege wa Burigi
Read more about the article Rais Ruto amteua Kindiki kumrithi Gachagua

Rais Ruto amteua Kindiki kumrithi Gachagua

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 18, 2024
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais wa Kenya, William Ruto amemteua Waziri wa Usalama wa Ndani, Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais mpya kufuatia kutimuliwa kwa Rigathi Gachagua jana Alhamisi usiku. Jina la Kindiki limewasilishwa bungeni…

Continue ReadingRais Ruto amteua Kindiki kumrithi Gachagua
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 106
  • 107
  • 108
  • 109
  • 110
  • 111
  • 112
  • …
  • 116
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search
Close Menu