Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article Wananchi Karatu wapewa darasa kuhusu wakopeshaji wasiosajiliwa

Wananchi Karatu wapewa darasa kuhusu wakopeshaji wasiosajiliwa

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 22, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Wananchi wa Wilaya ya Karatu jijini Arusha, wametakiwa kuhakikisha kuwa wanatumia Taasisi za fedha zilizosajiliwa ambazo zinazingatia sheria, kanuni na taratibu katika huduma za fedha ili kujiepesha na watoa huduma…

Continue ReadingWananchi Karatu wapewa darasa kuhusu wakopeshaji wasiosajiliwa
Read more about the article Lissu ambwaga Mbowe uenyekiti Chadema

Lissu ambwaga Mbowe uenyekiti Chadema

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 22, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

KADA machachari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameibuka mshindi katika nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho katika uchaguzi uliofanyika kuanzia jana hadi leo asubuhi kwenye ukumbi…

Continue ReadingLissu ambwaga Mbowe uenyekiti Chadema
Read more about the article Waziri Ulega akagua vivuko vipya Kigamboni Dar

Waziri Ulega akagua vivuko vipya Kigamboni Dar

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 21, 2025
  • Post category:Usafiri wa Majini

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekagua  vivuko viwili kati ya sita (6) vilivyowasili katika eneo la Magogoni kwa ajili ya kutoa huduma ya usafiri eneo la Kigamboni na Magogoni na kuagiza…

Continue ReadingWaziri Ulega akagua vivuko vipya Kigamboni Dar
Read more about the article Waziri Kombo awakaribisha wafanyabiashara wa Czech

Waziri Kombo awakaribisha wafanyabiashara wa Czech

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 21, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewakaribisha wafanyabiashara wa Czech kuangalia fursa za uwekezaji nchini Tanzania katika sekta za utalii, uchukuzi, afya,…

Continue ReadingWaziri Kombo awakaribisha wafanyabiashara wa Czech
Read more about the article Wizara ya madini yakusanya bil. 521 nusu ya kwanza 2024/2025

Wizara ya madini yakusanya bil. 521 nusu ya kwanza 2024/2025

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 21, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Wizara ya Madini imefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 521 katika kipindi cha Julai 1, 2024, hadi Desemba 31, 2024. Hii ni sawa na asilimia 52.2 ya lengo la kukusanya shilingi trilioni…

Continue ReadingWizara ya madini yakusanya bil. 521 nusu ya kwanza 2024/2025
Read more about the article Dk. Biteko ataka mitaala vyuoni iendane na manadiliko ya teknolojia

Dk. Biteko ataka mitaala vyuoni iendane na manadiliko ya teknolojia

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 21, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Vyuo na taasisi zinazotoa elimu ngazi ya Kati ikiwemo Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), zimetakiwa kuboresha mitaala yake ya masomo ili iendane na mahitaji ya sasa ya soko la…

Continue ReadingDk. Biteko ataka mitaala vyuoni iendane na manadiliko ya teknolojia
Read more about the article WHO yatoa bil. 7 kukabili Marburg, mmoja abainika kuambukizwa

WHO yatoa bil. 7 kukabili Marburg, mmoja abainika kuambukizwa

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 20, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limeipatia Tanzania shilingi bilioni 7.56, ili kudhiti na kukabiliana na ugonjwa wa Marburg nchini. Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk. Tedros Adhanom Ghebreyesus,…

Continue ReadingWHO yatoa bil. 7 kukabili Marburg, mmoja abainika kuambukizwa
Read more about the article Trump kuapishwa ndani ya jengo la bunge leo

Trump kuapishwa ndani ya jengo la bunge leo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 20, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

RAIS mteule wa Marekani, Donald Trump anatarajiwa kuapishwa leo Januari 20, 2025 kuwa rais wa 47 wa taifa hilo kubwa duniani ambapo uapisho huo utafanyika ndani ya jengo la Bunge…

Continue ReadingTrump kuapishwa ndani ya jengo la bunge leo
Read more about the article Prof. Lipumba aunda safu kukabiliana na uchaguzi mkuu 2025

Prof. Lipumba aunda safu kukabiliana na uchaguzi mkuu 2025

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 20, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amewateua wakurugenzi, manaibu wakurugenzi, katibu na naibu katibu wa kamati ya itifaki na udhibiti baada ya kushauriana na makamu wenyeviti. Taarifa…

Continue ReadingProf. Lipumba aunda safu kukabiliana na uchaguzi mkuu 2025
Read more about the article Rais Tshisekedi akataa mazungumzo na M23

Rais Tshisekedi akataa mazungumzo na M23

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 20, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Tshisekedi ameondowa uwezekano wa kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na kundi la M23, akisema kwamba hatua hiyo italipa uhalali kundi hilo.…

Continue ReadingRais Tshisekedi akataa mazungumzo na M23
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 104
  • 105
  • 106
  • 107
  • 108
  • 109
  • 110
  • …
  • 135
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website