Biteko awapa pole Bukombe kufuatia ajali ya radi iliyoua saba
[1/27/25, 9:49:33 PM] Gabriel Mushi: Mbunge wa Jimbo la Bukombe ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa pole kwa wananchi wa Wilaya…
[1/27/25, 9:49:33 PM] Gabriel Mushi: Mbunge wa Jimbo la Bukombe ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa pole kwa wananchi wa Wilaya…
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika - Misheni 300 ni kichocheo cha maendeleo ya nchi za…
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi inachukua hatua za haraka kushughulikia msongamano wa magari kwenye Barabara Kuu kutoka Mwanza Mjini hadi Usagara kwa kuijenga kwa…
NA MWANDISHI WETU SERIKALI imeipongeza Benki ya NMB kwa kuzindua Mfuko Maalum uliotengewa Sh. Bilioni 100 za kukopesha wasambazaji na wauzaji wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania, na kwamba…
Na Mwandishi Wetu, Tanga Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imezindua Kampeni ya kuhamasisha utalii wa ndani katika mapango ya amboni Tanga kuelekea sikukuu ya wapendanao inayoadhimishwa kila mwaka…
Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) imepongezwa kwa ujenzi wa mradi wa Kituo mama cha gesi iliyoshindiliwa yaani Compressed Natural Gas (CNG) na Vituo vidogo viwili vya kupokea…
Na Mwandishi Wetu, Tanga Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Usimamizi la Mazingira la Taifa (NEMC) imeupongeza uongozi wa kampuni ya Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kwa…
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa amesema kupitia mfumo wa usafirishaji wa vifurushi, mizigo, na abiria Serikali itaimarisha uchumi wa kidijitali, kukuza baishara mtandao na kuleta…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema ipo tayari kushirikiana na Jamhuri ya Korea katika kutekeleza mkakati wake wa kuendeleza madini mkakati na…
Kuelekea mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi za Afrika, Tanzania imeweka historia kwa kuwaunganishia umeme wananchi kwa asilimia 78.4 ambapo kwa vijijini uunganishaji umefikia asilimia 100 na kwenye vitongoji…