Gumzo albamu mpya ya Bruce Melodie
NA MWANDISHI WETU STAA wa muziki nchini Rwanda, Bruce Melodie ameachia albamu yake mpya iitwayo ‘Colorful Generation’ ambayo ni moto wa kuotea mbali na kuwa gumzo mitandaoni. Katika albamu hiyo…
NA MWANDISHI WETU STAA wa muziki nchini Rwanda, Bruce Melodie ameachia albamu yake mpya iitwayo ‘Colorful Generation’ ambayo ni moto wa kuotea mbali na kuwa gumzo mitandaoni. Katika albamu hiyo…
Mwaka 2024 Benki ya NMB iliendeleza kasi ya ukuaji, ikipata matokeo ya kipekee ya kifedha na kiutendaji, yaliyochochewa na ukuaji imara wa mizania, ufanisi wa uendeshaji, na umakini mkubwa katika…
Leo Januari 30, 2025 mkoani Geita, maelfu ya waombolezaji wamejitokeza kuaga miili ya wanafunzi saba wa Shule ya Sekondari Businda iliyopo wilayani Bukombe waliofariki kwa kupigwa na radi mnamo tarehe…
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema uunganishaji wa umeme kwenye maeneo ya Vijiji ni shilingi 27,000/- na…
Serikali za Afrika Kusini na Rwanda zimeingia katika mzozo kutokana na vita vinavyoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) baada ya wanajeshi 13 wa Afrika Kusini kuuawa katika uwanja…
Gavana wa Benki Kuu ya Comoro, Dk. Younoussa Imani jana Jumatano ametembelea makao makuu ya Benki ya CRDB na kumpa mwaliko Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Abdulmajid Nsekela kuangalia uwezekano…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amesema tafiti zinahitajika zaidi katika menejimenti ya rasilimali maji ili kuwezesha maarifa mapya na uelewa mpana kuhusu upatikanaji…
Na Mwandishi Wetu, Iringa Wananchi wa Kata ya Mgama, wilaya ya Iringa, wameeleza furaha yao kutokana na maendeleo makubwa ya ujenzi wa barabara ya Wenda-Mgama, ambayo kwa sasa imefikia asilimia…
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko amekutana na Waziri wa Nishati wa Umoja wa Visiwa vya Comoros, Dkt Aboubacar Anli na kukubaliana maeneo kadhaa ya ushirikiano…
India na China zimekubaliana kuanzisha tena safari za ndege za moja kwa moja za abiria kati ya nchi hizo mbili. Wizara ya Mambo ya Nje ya India imesema imefikia makubaliano…