Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article TAWA yakabidhi madawati 295 kwa shule za mkoa wa Simiyu

TAWA yakabidhi madawati 295 kwa shule za mkoa wa Simiyu

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 8, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na  Mwandishi wetu - Simiyu  SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imekabidhi madawati 295 yenye thamani ya Shillingi Millioni 25.9 Kwa shule za sekondari na msingi Mkoani…

Continue ReadingTAWA yakabidhi madawati 295 kwa shule za mkoa wa Simiyu
Read more about the article Watumishi TICD watembelea na kushuhudia utalii mubashara Kreta ya Ngorongoro

Watumishi TICD watembelea na kushuhudia utalii mubashara Kreta ya Ngorongoro

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 8, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Arusha Watumishi 65 wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD),  jana Februari 7, 2025, wamefanya ziara ya kihistoria ya kutembelea hifadhi ya Ngorongoro (NCA) kwa ajili ya…

Continue ReadingWatumishi TICD watembelea na kushuhudia utalii mubashara Kreta ya Ngorongoro
Read more about the article Ujenzi mji wa Serikali wafikia asilimia 89.4

Ujenzi mji wa Serikali wafikia asilimia 89.4

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 7, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa ujenzi wa mejengo 36 ya serikali umefikia asilimia 89.4 huku Jengo…

Continue ReadingUjenzi mji wa Serikali wafikia asilimia 89.4
Read more about the article DC Kinondoni awalipia mabondia waliokosa pasipoti

DC Kinondoni awalipia mabondia waliokosa pasipoti

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 7, 2025
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule leo Ijumaa amegharamia malipo ya utengenezwaji wa paspoti kwa baadhi ya mabondia wa timu ya Taifa ya ngumi. Mtambule amejitolea gharama hizo katika…

Continue ReadingDC Kinondoni awalipia mabondia waliokosa pasipoti
Read more about the article Tozo 66 kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu zachunguzwa

Tozo 66 kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu zachunguzwa

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 7, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Madini imesema inaendelea na juhudi za kupunguza mzigo wa tozo kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu nchini kwa kufanya mapitio ya ada na…

Continue ReadingTozo 66 kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu zachunguzwa
Read more about the article Mfumo wa NaPA kuboresha huduma za usafiri nchini

Mfumo wa NaPA kuboresha huduma za usafiri nchini

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 7, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mfumo wa kielektroniki wa Anwani za makazi (NaPA) ambao una programu tumizi yaani ‘Application’ utasaidia kuboresha huduma za usafiri na usalama wa abiria na madereva ambapo…

Continue ReadingMfumo wa NaPA kuboresha huduma za usafiri nchini
Read more about the article Kapinga: Kituo cha kupoza umeme cha Uhuru – Urambo kimekamilika

Kapinga: Kituo cha kupoza umeme cha Uhuru – Urambo kimekamilika

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 7, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Uhuru kilichopo Wilaya ya Urambo mkoani Tabora umekamilika. Kapinga ameyasema hayo leo Februari 07…

Continue ReadingKapinga: Kituo cha kupoza umeme cha Uhuru – Urambo kimekamilika
Read more about the article Mambo Mbotela wa ‘ Jee, Huu ni uungwana?’ afariki dunia

Mambo Mbotela wa ‘ Jee, Huu ni uungwana?’ afariki dunia

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 7, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Mwanahabari mkongwe wa Kenya Leonard Mambo Mbotela amefariki dunia. Mkwe wake Anne Mbotela alithibitisha habari hizo za kusikitisha kwa vyombo vya habari nchini humo leo Ijumaa asubuhi. Amesema Mwanahabari huyo…

Continue ReadingMambo Mbotela wa ‘ Jee, Huu ni uungwana?’ afariki dunia
Read more about the article Wataalaam wa ununuzi na ugavi waaswa kuzongatia maadili

Wataalaam wa ununuzi na ugavi waaswa kuzongatia maadili

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 6, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Wataalamu wa sekta ya ununuzi wa umma wameaswa kuzingatia maadili ya taaluma ya fani yao katika usimamizi wa miradi ya umma ili kuiwezesha Serikali kupata thamani halisi ya fedha katika…

Continue ReadingWataalaam wa ununuzi na ugavi waaswa kuzongatia maadili
Read more about the article Njombe wakusanya bilioni 4.5 kwenye makaa ya mawe

Njombe wakusanya bilioni 4.5 kwenye makaa ya mawe

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 6, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

MAKUSANYO  ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya madini katika Mkoa wa Njombe  yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali yameendelea kupaa kutoka mwaka hadi mwaka tangu kuanzishwa kwa Ofisi ya Tume…

Continue ReadingNjombe wakusanya bilioni 4.5 kwenye makaa ya mawe
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 98
  • 99
  • 100
  • 101
  • 102
  • 103
  • 104
  • …
  • 135
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website