Tanzania yanadi vitalu 26 vya mafuta na gesi asilia India
Na Mwandishi Wetu, New Delhi Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli Tanzania (PURA) imeendelea kuhamasisha wawekezaji mbalimbali duniani kushiriki katika Duru ya Tano ya Kunadi Vitalu…
