M23 waingia bukavu
Waasi wanaoungwa mkono na Rwanda walifika katikati mwa jiji la pili kwa ukubwa mashariki mwa DRC, Bukavu, jana Jumapili asubuhi na kuchukua udhibiti wa ofisi ya utawala wa jimbo la…
Waasi wanaoungwa mkono na Rwanda walifika katikati mwa jiji la pili kwa ukubwa mashariki mwa DRC, Bukavu, jana Jumapili asubuhi na kuchukua udhibiti wa ofisi ya utawala wa jimbo la…
Serikali ya Uganda imesema itaiondoa kesi dhidi ya mpinzani mkongwe Kizza Besigye katika mahakama ya kijeshi, na kumtaka asitishe mgomo wa kula gerezani. Ahadi hiyo imetupiliwa mbali na mke wa…
Na Mwandishi Wetu, Tanga Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii, imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusikiliza kilio cha wananchi kuhusu wanyama wakali…
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuiombea nchi pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan ili aendelee kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi.…
Makamu Dk. Philip Mpango na mwenza wake Mama Mbonimapaye Mpango wameifariji familia na waombolezaji mbalimbali kufuatia kifo cha Johnson Nkondo aliyekuwa Msaidizi wa Ofisi Mkuu - Ofisi ya Makamu wa…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Maonyesho ya siku tatu yaliyoandaliwa na kampuni ya Al Mansour Auto EA Tanzania, kuangazia teknolojia za kisasa za usafiri na muktadha mzuri wa magari ya ISUZU,…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wakulima wa Tanzania wanaozalisha mazao ya chakula na kuyauza kwa Wakala wa Taifa wa Uhifadhi wa Chakula Nchini (NFRA) wamelipwa bilioni 347 katika miezi minane iliyopita kuanzia mwezi…
Na Mwandishi Wetu Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeibuka mshindi wa tatu katika kundi la taasisi za umma zinazozingatia na kufuata miongozo na kanuni za Mamlaka ya Serikali…
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga ameshindwa kwenye kinyang’anyiro cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC). Katika uchaguzi uliokuwa na ushindani mkali uliofanyika leo Jumamosi, Februari…
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt.Hussein Ali Mwinyi amezisisitiza Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi kuwahamasisha Wanachama na Wananchi kujiandikisha na kujitokeza kwa Wingi kupiga Kura ili CCM ishinde kwa Kishindo.…