Kapinga awataka TANESCO kuwa na mahusiano mazuri na wananchi
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewataka watendaji wa Sekta ya Nishati kuwajengea uwezo watoa huduma wanaotekeleza miradi mbalimbali ya sekta ya nishati nchini. Hayo ameyasema leo Februari 23, 2025…
